instanbul
JF-Expert Member
- Jun 26, 2016
- 12,037
- 17,212
Tulikubaliana Kagera ni maskini wa kutupwa...nyinyi si mpo top ten ya watu wenye vipato?Ruvuma na Mtwara hatuna uwanja wa Ndege wa maana , kumbuka huku kuna uswahili na umaskini, huku hatusomi na wanetu wanaishia darasa la saba na kuozeshwa;Ndoa za utotoni zinaongoza huku,.
Hatuna utaratibu wa kurudi kwetu kama Wachagga , ndege itamleta nani?
Bukoba kuna mashirika matatu ya ndege kila siku mengine mara mbili...lakini kadri ya serikali ndo sehemu yenye kipato kidogo kabisa..