Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa ubunifu,kwa wizi,kwa ujambazi,kwa kamari,kwa kufanya kazi kwa bidii,kwa kupendelewa ama kwa nafasi walizo nazo🤔Dunia hii kuna watu wana uwezo na akili kubwa ya kutengeneza pesa
Usijali kaka, hakuna kilichoharibika.Hukusema sasa mrembo wa kwetu.
Halafu nisamehe nimekuudhi sitarudia tena mdogo wangu
Mkuu si kila anayefanikiwa ni mwizi, kuna watu wabunifu sana katika kutafuta pesa.Kwa ubunifu,kwa wizi,kwa ujambazi,kwa kamari,kwa kufanya kazi kwa bidii,kwa kupendelewa ama kwa nafasi walizo nazo🤔
Hatukatai lakini wataalam ni based na physic ya kucheza mpira sio lazima kama wewe ni mshabiki au mfanya biasharaFIFA Walizingatia ushauri wa kitaalam
Napenda ulivyo na akili nyingi, upate mume bora ufurahie maisha mdogo wangu mzuriUsijali kaka, hakuna kilichoharibika.
Ratiba zimekua nyingi.
Hayo masaa wanayopoteza njiani,plus risks za ajali,plus usumbufu tunduma....wajitafakari kama kweli bank wana zaidi ya USD 70000Watu bwana sasa kuna watu wanapiga dar to LUSAKA ,dar to lubumbashi kwa gari tena kwa mwezi hata mara mbili na wana mawe na gari wamepaki home ila wanapanda basi hao nao .Iga jambo lenye faida sio unapata kihela kidogo tu unaanza kuona watu maskini.Watu wanamitaji mpaka wa dola 70000$ lakini wao ni basi tu.
Kwa bongo na Afrika huenda uka wataja akina dangote na wengine wachache,zaidi ya hapo ni wale waiba kodi za wavuja Jasho wa kweli ambao wanalazimishwa kubakia kuwa maskini.Mkuu si kila anayefanikiwa ni mwizi, kuna watu wabunifu sana katika kutafuta pesa.
Wewe jua hilo
Asante kaka yangu mzuri😘😘Napenda ulivyo na akili nyingi, upate mume bora ufurahie maisha mdogo wangu mzuri
Imekaa vyema hiyoAsante kaka yangu mzuri😘😘
Soon utatambulishwa🙈🙈
Inawezekana ww sio mpambanaji hivi kweli mm naenda zangu Kitwe zambia niwashe gari. kwanza mpaka unafika uchovu wa ku drive plus usumbufu wa trafic na cost ya mafuta. lakini km basi nafika ndani ya siku moja na nusu nimeepusha gharama kubwa ya ndege na gari binafsi.Kujali mda bila kuangalia faida na kipato unachopata ni upuuzi saving money ni bora sana kuliko kujimwambafai.Hayo masaa wanayopoteza njiani,plus risks za ajali,plus usumbufu tunduma....wajitafakari kama kweli bank wana zaidi ya USD 70000
Magufuli alikuwa masikini?Ni mfano wa route za Dar kwenda mikoaifuatayo, Mwanza, Kagera, Musoma, Kigoma, Mbeya, Mtwara, Ruvuma
Kama huwa unatumia usafiri wa basi kwa mikoa tajwa badi ujue wewe bado unajitafuta, endelea kujitafuta.
Binadamu hatakiwi kusafiri zaidi ya Km 500 kwa basi, ndio maana Simba na Yanga wakienda kucheza Singida lazima walale Dodoma kilazima,hizo ni kanuni za FIFA.
Kwa mtu binafsi kwa umbali wa zaidi ya km 800 ni either upande ndege au utumie private car,unless uwe unafanya utalii wa ndani au for funny.
Tafuta hela
Ukishaongelea swala la gharama ujue umesuport uzi,bado unajitafuta,huna hela,endelea kutafuta hela broInawezekana ww sio mpambanaji hivi kweli mm naenda zangu Kitwe zambia niwashe gari. kwanza mpaka unafika uchovu wa ku drive plus usumbufu wa trafic na cost ya mafuta. lakini km basi nafika ndani ya siku moja na nusu nimeepusha gharama kubwa ya ndege na gari binafsi.Kujali mda bila kuangalia faida na kipato unachopata ni upuuzi saving money ni bora sana kuliko kujimwambafai.
Ruvuma na Mtwara hatuna uwanja wa Ndege wa maana , kumbuka huku kuna uswahili na umaskini, huku hatusomi na wanetu wanaishia darasa la saba na kuozeshwa;Ndoa za utotoni zinaongoza huku,.Ni mfano wa route za Dar kwenda mikoaifuatayo, Mwanza, Kagera, Musoma, Kigoma, Mbeya, Mtwara, Ruvuma
Kama huwa unatumia usafiri wa basi kwa mikoa tajwa badi ujue wewe bado unajitafuta, endelea kujitafuta.
Binadamu hatakiwi kusafiri zaidi ya Km 500 kwa basi, ndio maana Simba na Yanga wakienda kucheza Singida lazima walale Dodoma kilazima,hizo ni kanuni za FIFA.
Kwa mtu binafsi kwa umbali wa zaidi ya km 800 ni either upande ndege au utumie private car,unless uwe unafanya utalii wa ndani au for funny.
Tafuta hela