Kama unasafiri Kilometa zaidi ya 800 kwa basi wewe ni masikini tafuta hela

Umeshiba maharage ya wapi wewe. Kwa hiyo hata mabasi ya mikoani inabidi iwepo sheria ya km 800 unazozisema mbona kuna mengine yanakwenda Afrika Kusini sasa hao wanaosafiri na mabasi hayo utasemaje. Shibe mwana malevya kweli.
Malizia paragraph ya mwisho imeeleza labda iwe ni kwa case ya utalii au fun ila sio vinginevyo
 
Udukuzi umekushinda naona
 
Ndege bado na anasa nchi hii na usafiri wa treni za mwendokasi hakuna, tunajiishia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…