Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Kwahiyo sote tuishi kwa kanuni za FIFA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana mama katuvuruga sana na makonda wake nimekosa raha kabisa.Yes, sawa sawa kabisa na it's cheaper kuliko kujiendesha mwenyewe na pia naweza nikalala anytime nikitaka. Bus lenye choo ndani kwa masafa marefu hapa Tanzania ni mali sana. I love my country Tanzania ila siipendi serikali ya CCM, wanaturudisha nyuma sana.
Mkuu inaonekana ulipanda fikoshi aseee,, hapo kuchoka sio umasikini peke ake na aina ya usafiri unaotumia pia 😂😂Nilisafiri kutoka mbeya kwenda mwanza asee ni mbali kweli umasikini ni mbaya sana
😆😆 sio hilo mzee lenyewe linaitwa premier nini sijui limenitoka kidogo nauli elfu 60 sema lilikua namba BMkuu inaonekana ulipanda fikoshi aseee,, hapo kuchoka sio umasikini peke ake na aina ya usafiri unaotumia pia 😂😂
😄😄😄 Premier mwendo wa kobe,,asee unafika sehemu unayaoenda umechoka sana kama unatoka kulima iv Mzee😆😆 sio hilo mzee lenyewe linaitwa premier nini sijui limenitoka kidogo nauli elfu 60 sema lilikua namba B
Umeongea vizuri umrharibu hapo kwenye kutafuta hela. Hiyo kauli inatumiwa na masikini hohehahe na mapangu pakavu.Ni mfano wa route za Dar kwenda mikoa ifuatayo, Mwanza, Kagera, Musoma, Kigoma, Mbeya, Ruvuma
Kama huwa unatumia usafiri wa basi kwa mikoa tajwa badi ujue wewe bado unajitafuta, endelea kujitafuta.
Binadamu hatakiwi kusafiri zaidi ya Km 500 kwa basi, ndio maana Simba na Yanga wakienda kucheza Singida lazima walale Dodoma kilazima,hizo ni kanuni za FIFA.
Kwa mtu binafsi kwa umbali wa zaidi ya km 800 ni either upande ndege au utumie private car,unless uwe unafanya utalii wa ndani au for fun
Tafuta hela
Tatizo sio basi bali umbali gani unasafiri na basi.Jamani kunamambo ya kuiga unapo sema viwango vya fifa au simba, yanga na wengine ni wanamichezo hao. Pia kwa safari zao hutumia mabasi hayohayo na anaetumia basi siyo maskini labda siewi maskini ni mtu wa aina gani. Kama huwa unasafiri kwa ndege sawa lakini usimbeye wa basi na kusema masikini.
ttz jf kila mtu bilioneaNi mfano wa route za Dar kwenda mikoa ifuatayo, Mwanza, Kagera, Musoma, Kigoma, Mbeya, Ruvuma
Kama huwa unatumia usafiri wa basi kwa mikoa tajwa badi ujue wewe bado unajitafuta, endelea kujitafuta.
Binadamu hatakiwi kusafiri zaidi ya Km 500 kwa basi, ndio maana Simba na Yanga wakienda kucheza Singida lazima walale Dodoma kilazima,hizo ni kanuni za FIFA.
Kwa mtu binafsi kwa umbali wa zaidi ya km 800 ni either upande ndege au utumie private car,unless uwe unafanya utalii wa ndani au for fun
Tafuta hela
Huyo anayesafiri kwani ni Simba?Ni mfano wa route za Dar kwenda mikoa ifuatayo, Mwanza, Kagera, Musoma, Kigoma, Mbeya, Ruvuma
Kama huwa unatumia usafiri wa basi kwa mikoa tajwa badi ujue wewe bado unajitafuta, endelea kujitafuta.
Binadamu hatakiwi kusafiri zaidi ya Km 500 kwa basi, ndio maana Simba na Yanga wakienda kucheza Singida lazima walale Dodoma kilazima,hizo ni kanuni za FIFA.
Kwa mtu binafsi kwa umbali wa zaidi ya km 800 ni either upande ndege au utumie private car,unless uwe unafanya utalii wa ndani au for fun
Tafuta hela
Kumbe mimi sio mwenyeji wa mbeya mabus ya huko mazuri siyajui, next time nitakua makini yale ni zaidi ya mateso.😄😄😄 Premier mwendo wa kobe,,asee unafika sehemu unayaoenda umechoka sana kama unatoka kulima iv Mzee
Tatizo la watoto wengi wazuri warudipo makwao wanakuwa na afya mgogoro, ni kama wanakwenda kusubiri kufa huko. So ukiwa mjinga na kutaka kulala na kila mrembo anayesafiri utakuja kujizolea maradhi yasiyotibika mkuu. Be very careful na hawa dada zetu.Jana mama katuvuruga sana na makonda wake nimekosa raha kabisa.
Nikisafiri mbali huwa naongea na agent ahakikishe ananipanga na mtoto mzuri kwenye siti,safari inakuwa fupi😀😀
Matatizo ya afya ya akili yanaanza taratibu,Ni mfano wa route za Dar kwenda mikoa ifuatayo, Mwanza, Kagera, Musoma, Kigoma, Mbeya, Ruvuma
Kama huwa unatumia usafiri wa basi kwa mikoa tajwa badi ujue wewe bado unajitafuta, endelea kujitafuta.
Binadamu hatakiwi kusafiri zaidi ya Km 500 kwa basi, ndio maana Simba na Yanga wakienda kucheza Singida lazima walale Dodoma kilazima,hizo ni kanuni za FIFA.
Kwa mtu binafsi kwa umbali wa zaidi ya km 800 ni either upande ndege au utumie private car,unless uwe unafanya utalii wa ndani au for fun
Tafuta hela
Explain hisia ipo wapi please ama emotion ipi nimetumiahisia
Umeshiba maharage ya wapi wewe. Kwa hiyo hata mabasi ya mikoani inabidi iwepo sheria ya km 800 unazozisema mbona kuna mengine yanakwenda Afrika Kusini sasa hao wanaosafiri na mabasi hayo utasemaje. Shibe mwana malevya kweli.Ni mfano wa route za Dar kwenda mikoa ifuatayo, Mwanza, Kagera, Musoma, Kigoma, Mbeya, Ruvuma