Kama unasafiri Kilometa zaidi ya 800 kwa basi wewe ni masikini tafuta hela

Yes, sawa sawa kabisa na it's cheaper kuliko kujiendesha mwenyewe na pia naweza nikalala anytime nikitaka. Bus lenye choo ndani kwa masafa marefu hapa Tanzania ni mali sana. I love my country Tanzania ila siipendi serikali ya CCM, wanaturudisha nyuma sana.
Jana mama katuvuruga sana na makonda wake nimekosa raha kabisa.
Nikisafiri mbali huwa naongea na agent ahakikishe ananipanga na mtoto mzuri kwenye siti,safari inakuwa fupi😀😀
 
Jamani kunamambo ya kuiga unapo sema viwango vya fifa au simba, yanga na wengine ni wanamichezo hao. Pia kwa safari zao hutumia mabasi hayohayo na anaetumia basi siyo maskini labda siewi maskini ni mtu wa aina gani. Kama huwa unasafiri kwa ndege sawa lakini usimbeye wa basi na kusema masikini.
 
Mkuu inaonekana ulipanda fikoshi aseee,, hapo kuchoka sio umasikini peke ake na aina ya usafiri unaotumia pia 😂😂
😆😆 sio hilo mzee lenyewe linaitwa premier nini sijui limenitoka kidogo nauli elfu 60 sema lilikua namba B
 
😄😄😄 Premier mwendo wa kobe,,asee unafika sehemu unayaoenda umechoka sana kama unatoka kulima iv Mzee
 
Ni mfano wa route za Dar kwenda mikoa ifuatayo, Mwanza, Kagera, Musoma, Kigoma, Mbeya, Ruvuma

Kama huwa unatumia usafiri wa basi kwa mikoa tajwa badi ujue wewe bado unajitafuta, endelea kujitafuta.

Binadamu hatakiwi kusafiri zaidi ya Km 500 kwa basi, ndio maana Simba na Yanga wakienda kucheza Singida lazima walale Dodoma kilazima,hizo ni kanuni za FIFA.

Kwa mtu binafsi kwa umbali wa zaidi ya km 800 ni either upande ndege au utumie private car,unless uwe unafanya utalii wa ndani au for fun

Tafuta hela
Umeongea vizuri umrharibu hapo kwenye kutafuta hela. Hiyo kauli inatumiwa na masikini hohehahe na mapangu pakavu.
 
Jamani kunamambo ya kuiga unapo sema viwango vya fifa au simba, yanga na wengine ni wanamichezo hao. Pia kwa safari zao hutumia mabasi hayohayo na anaetumia basi siyo maskini labda siewi maskini ni mtu wa aina gani. Kama huwa unasafiri kwa ndege sawa lakini usimbeye wa basi na kusema masikini.
Tatizo sio basi bali umbali gani unasafiri na basi.
Hiyo ya Fifa ,Simba,Yanga ni mfano tu,ila hata kwenye reoutable organisation stagf wao hswaendi kigoma au bukoba kwa basi,ni either flight au gari ya ofisi na hawaendi kucheza mpira bali shughuli za kiofisi
 
Ni mfano wa route za Dar kwenda mikoa ifuatayo, Mwanza, Kagera, Musoma, Kigoma, Mbeya, Ruvuma

Kama huwa unatumia usafiri wa basi kwa mikoa tajwa badi ujue wewe bado unajitafuta, endelea kujitafuta.

Binadamu hatakiwi kusafiri zaidi ya Km 500 kwa basi, ndio maana Simba na Yanga wakienda kucheza Singida lazima walale Dodoma kilazima,hizo ni kanuni za FIFA.

Kwa mtu binafsi kwa umbali wa zaidi ya km 800 ni either upande ndege au utumie private car,unless uwe unafanya utalii wa ndani au for fun

Tafuta hela
ttz jf kila mtu bilionea
 
Huyo anayesafiri kwani ni Simba?
 
ttz jf kila mtu bilionea
Unaweza kujiona wewe pekee ndio masikini,ahaaaa
Mtu alileta mada kama hizi sio kwamba ana hela ila anajaribu kuongea fact bila kujali hali yake,uhenda na yeye anaosnda sana mabasi
 
T
Jana mama katuvuruga sana na makonda wake nimekosa raha kabisa.
Nikisafiri mbali huwa naongea na agent ahakikishe ananipanga na mtoto mzuri kwenye siti,safari inakuwa fupi😀😀
Tatizo la watoto wengi wazuri warudipo makwao wanakuwa na afya mgogoro, ni kama wanakwenda kusubiri kufa huko. So ukiwa mjinga na kutaka kulala na kila mrembo anayesafiri utakuja kujizolea maradhi yasiyotibika mkuu. Be very careful na hawa dada zetu.
 
Ni mfano wa route za Dar kwenda mikoa ifuatayo, Mwanza, Kagera, Musoma, Kigoma, Mbeya, Ruvuma

Kama huwa unatumia usafiri wa basi kwa mikoa tajwa badi ujue wewe bado unajitafuta, endelea kujitafuta.

Binadamu hatakiwi kusafiri zaidi ya Km 500 kwa basi, ndio maana Simba na Yanga wakienda kucheza Singida lazima walale Dodoma kilazima,hizo ni kanuni za FIFA.

Kwa mtu binafsi kwa umbali wa zaidi ya km 800 ni either upande ndege au utumie private car,unless uwe unafanya utalii wa ndani au for fun

Tafuta hela
Matatizo ya afya ya akili yanaanza taratibu,
 
Nimetoka south kwa bus. Mimi nitakua masikini wakutupwa, maana December naenda tena kwa basi hivyo hivyo.
 
Ni mfano wa route za Dar kwenda mikoa ifuatayo, Mwanza, Kagera, Musoma, Kigoma, Mbeya, Ruvuma

Kama huwa unatumia usafiri wa basi kwa mikoa tajwa badi ujue wewe bado unajitafuta, endelea kujitafuta.

Binadamu hatakiwi kusafiri zaidi ya Km 500 kwa basi, ndio maana Simba na Yanga wakienda kucheza Singida lazima walale Dodoma kilazima,hizo ni kanuni za FIFA.

Kwa mtu binafsi kwa umbali wa zaidi ya km 800 ni either upande ndege au utumie private car,unless uwe unafanya utalii wa ndani au for fun

Tafuta hela
Umeshiba maharage ya wapi wewe. Kwa hiyo hata mabasi ya mikoani inabidi iwepo sheria ya km 800 unazozisema mbona kuna mengine yanakwenda Afrika Kusini sasa hao wanaosafiri na mabasi hayo utasemaje. Shibe mwana malevya kweli.
 
Back
Top Bottom