Kama unasafiri Kilometa zaidi ya 800 kwa basi wewe ni masikini tafuta hela

Tulikubaliana Kagera ni maskini wa kutupwa...nyinyi si mpo top ten ya watu wenye vipato?

Bukoba kuna mashirika matatu ya ndege kila siku mengine mara mbili...lakini kadri ya serikali ndo sehemu yenye kipato kidogo kabisa..
 
Nafahamu taasisi nyingi tu zinazoeleweka staff wao hawawezi kusafiri from dar to mwanza kwa basi
Hatukatai lakini wataalam ni based na physic ya kucheza mpira sio lazima kama wewe ni mshabiki au mfanya biashara
 
Tulikubaliana Kagera ni maskini wa kutupwa...nyinyi si mpo top ten ya watu wenye vipato?

Bukoba kuna mashirika matatu ya ndege kila siku mengine mara mbili...lakini kadri ya serikali ndo sehemu yenye kipato kidogo kabisa..
Kweli ndege zinakwenda sana lakini robo tatu ya abiria ni wageni wa DFP .
MSF, US Aid na miradi ya ukimwi,
TASAF wanapaa kila uchao kugawa msaada kwa maskini wa Bukoba.
Makampuni ya kahawa yenye makao Dar nayo yanawatumishi wanapanda ndege ;
Naufahamu mkoa hu maana nimekaa hapo mahakama kuu kipindi kirefu, ni maskini almost sawa na Mtwara, wahaya wakifika Dar hawarudi kwao na hawaendelezi.
Wahaya pale mlimani[UDSM ] wapo kila department ila kwao toka wamalize sekondari hawajawahi kurudi.
 
Nje ya mada, ni PM hayo makampuni ya kahawa yenye makao makuu huko Daslam.
 
Sema yale mahekalu vijijini yanafichaficha umasikini wao ila wamechoka
 
Sema yale mahekalu vijijini yanafichaficha umasikini wao ila wamechoka
Tuwaseme akina Bashaija mpaka waanze utaratibu wa kurudi kwao.
Muda huu ukienda SAMAKI SAMAKI mlimani City wao ndio wamejaa wanapiga story zao walipokuwa Ulaya, ila sasa waambie kuhusu Bukoba stendi ni ya vumbi mpaka leo mtagombana.
 
sawa tajiri la JF
 
Sasa private car ina tofauti gani na basi? Ukiwa na private car utachoka sana kuendesha umbali huo. Hapo ni ndege tu

Ingawa kupanda basi sio kwamba umechoka kiuchumi ni njia ya kutalii pia kwa kuona maeneo tofauti tofauti.

Nitaenda Angola mwezi Disemba kwa ndege na nitarudi kwa basi kupitia South Africa Johannesburg. Nia ya kupanda basi ni kuziona vizuri nchi za kusini mwa Africa
 
Ukisoma uzi mpaka mwisho utaona kuwa isipokuwa kwa malengo ya kutalii au kujifurahisha nafsi vinginevyo ni ugumu tu wa maisha
Private car inakusaidia kuigawa safari unaweza kuamua kulala njiani kama unajihisi uchovu ukaamka ukaendelea na safari
 
Watakupinga ila huu ni ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…