Kama unasafiri Kilometa zaidi ya 800 kwa basi wewe ni masikini tafuta hela

Labda kuuendeleza mji wa Bukoba sio huko vijijini...bukoba miundombinu yake ndo inarekebishwa sasa...wako wanapanua bandari, wanajenga barabara njia nne, wako wanapanua uwanja wa ndege , nk...so mji utakuwa super soon

Eti Tasaf, miradi ya ukimwi?
Mbona Iringa, njombe na Mbeya ndege haziendi kwa sana wakati kunaongoza ukimwi....

Mtu ukichukia watu unachukia hadi nyayo zao..
 
Tuwaseme akina Bashaija mpaka waanze utaratibu wa kurudi kwao.
Muda huu ukienda SAMAKI SAMAKI mlimani City wao ndio wamejaa wanapiga story zao walipokuwa Ulaya, ila sasa waambie kuhusu Bukoba stendi ni ya vumbi mpaka leo mtagombana.
Bukoba umeenda lini mzee?
Najua watu mnaiponda Bukoba kisa tu stendi yake...

Mbona stendi ilishatolewa pale...pamezungushiwa mabati na ujenzi unaendelea...
Tuwe updated please....vinginevyo unajiabisha tu
 
Dar-Mtwara umetuongopea hazizidi hata 600km ni Kati ya 550-600 ni mwendo kama wa masaa8 tu kwa bus
 
Kuna Basi linatoka Dar Mpaka Johansburg southAfrica. mkuu unaaemaje kuhusu hilo
 
..kijana una hekma sana wewe
 
sijachukia wahaya , nimekuwa na boyfriend zaidi ya mmoja kabla ya ndoa na wote walikuwa wahaya, mmoja alitokea kamachumu akiitwa kokusima na mwengine alitokea ipilimulo
 
Tanzania ni nchi maskini. Wewe hizo hela unataka tutafute za nini? Na tuzipate kutoka wapi?

Btw, hata tukisafiri kwa ndege, tunawahi ili iweje? Siku hata siku za kuishi ni zile zile, niwahi kufika niendako ili iweje!
 
Tanzania ni nchi maskini. Wewe hizo hela unataka tutafute za nini? Na tuzipate kutoka wapi?

Btw, hata tukisafiri kwa ndege, tunawahi ili iweje? Siku hata siku za kuishi ni zile zile, niwahi kufika niendako ili iweje!
Wahaya acheni makasiriko, nafikiri ni ushauri tu wa kupenda kwenu, hata mimi nimelipokea kwakweli kwetu ni maskini japo hapa mwanza ninaishi maisha ya kiunafki na kujifanya tajiri.
huu uzi si wa kubeza, tujirekebishe, Wahaya, waha, Wabena-njimbe na wamachinga kwenu hakufai.
 
Bila shaka wewe ni mnufaika wa DP WORLD ndio maana nyodo nyiingi. Hivi nchi yako ya Tz ni asilimia ngapi wanauwezo wa kupanda ndege. Ina maana unawaambia wa tz asilimia 99%
 
Nyie ndio mjirekebishe, acheni kuishi maisha ya kitajiri kwenye nchi maskini.
 
Sasa mimi mwenzio kila mwezi napiga route ya Songea to Kahama kwa hiyo nitakufa mapema
 
Nyie ndio mjirekebishe, acheni kuishi maisha ya kitajiri kwenye nchi maskini.
Mimi nimesoma Law miaka 4, nimesoma masters miaka 2 (miezi 18 uingereza), wacha seminari nilosoma hapo Mbeya/St Fransis nijibane maisha niishi sawa na Mzaramo anayepepea mabendera ya CCM kwenye nyumba ya udongo?
Mhaya aliyekaa kamachumu asiye na TIN number, hana faili TRA, halipi kodi na bado sisi kodi zetu serikali inapeleka TASAF kuwagaia bure?nami niishi kama yeye?

Hebu nipishe.
 
Tulikuwa na event km 1200 kutoka hapa nilipo na ni jiji to jiji. Katika wahudhuriaji walikupo PHD holders na wote tulipanda basi. Sasa sijui na hawa ni masikini!
 
Tulikuwa na event km 1200 kutoka hapa nilipo na ni jiji to jiji. Katika wahudhuriaji walikupo PHD holders na wote tulipanda basi. Sasa sijui na hawa ni masikini!
Tajiri akipanda basi kilometa hata 2000 ni starehe.
Maskini ni mzigo.
Usitetee umaskini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…