Kama unasafiri Kilometa zaidi ya 800 kwa basi wewe ni masikini tafuta hela

Ni kweli , kusafr huo umbali Kwa basi hamna kitu , ni kujitaftia matatizo tuu, hawa watu wajengewe SGR mapema Sana aisee
 
mkuu usijali ndomaana ya third world,, kila kitu ni harakati.

ila uzuri wake tunarekebisha afya zetu umoumo kwenye hizo harakati.

hii mifumo ya kisasa inatuletea magonjwa kibao yasiyoyakuambukiza.
 
Nauli ya ndege haiwezi kuliwa labda uwe ndezi sana..ndege unatuma tiketi mkuu.
Demu yeyote akijifanya sijui hana nafasi kabanwa na kazi.
Fanya booking mtumie copy ya tiketi tayari nafasi imepatikana😂😂
hahaha kijana unaonekana ni mjuvi wa mambo
 
Musoma kuna ndege zinatua?
 
Aisee! Ndugu hatuwezi lingana au kufanana, tofauti lazima ziwepo tu na hayo ndio maisha.
 
Sasa ulikuwa na point uliposema haishauriwi kupanda gari kwa zaidi ya 500kms,kwani private car inapunguza umbali ama sijakuelewa!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…