Kama unasafiri Kilometa zaidi ya 800 kwa basi wewe ni masikini tafuta hela

Jana mama katuvuruga sana na makonda wake nimekosa raha kabisa.
Nikisafiri mbali huwa naongea na agent ahakikishe ananipanga na mtoto mzuri kwenye siti,safari inakuwa fupiπŸ˜€πŸ˜€
 
Jamani kunamambo ya kuiga unapo sema viwango vya fifa au simba, yanga na wengine ni wanamichezo hao. Pia kwa safari zao hutumia mabasi hayohayo na anaetumia basi siyo maskini labda siewi maskini ni mtu wa aina gani. Kama huwa unasafiri kwa ndege sawa lakini usimbeye wa basi na kusema masikini.
 
Mkuu inaonekana ulipanda fikoshi aseee,, hapo kuchoka sio umasikini peke ake na aina ya usafiri unaotumia pia πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜†πŸ˜† sio hilo mzee lenyewe linaitwa premier nini sijui limenitoka kidogo nauli elfu 60 sema lilikua namba B
 
πŸ˜†πŸ˜† sio hilo mzee lenyewe linaitwa premier nini sijui limenitoka kidogo nauli elfu 60 sema lilikua namba B
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ Premier mwendo wa kobe,,asee unafika sehemu unayaoenda umechoka sana kama unatoka kulima iv Mzee
 
Umeongea vizuri umrharibu hapo kwenye kutafuta hela. Hiyo kauli inatumiwa na masikini hohehahe na mapangu pakavu.
 
Tatizo sio basi bali umbali gani unasafiri na basi.
Hiyo ya Fifa ,Simba,Yanga ni mfano tu,ila hata kwenye reoutable organisation stagf wao hswaendi kigoma au bukoba kwa basi,ni either flight au gari ya ofisi na hawaendi kucheza mpira bali shughuli za kiofisi
 
ttz jf kila mtu bilionea
 
Huyo anayesafiri kwani ni Simba?
 
ttz jf kila mtu bilionea
Unaweza kujiona wewe pekee ndio masikini,ahaaaa
Mtu alileta mada kama hizi sio kwamba ana hela ila anajaribu kuongea fact bila kujali hali yake,uhenda na yeye anaosnda sana mabasi
 
T
Jana mama katuvuruga sana na makonda wake nimekosa raha kabisa.
Nikisafiri mbali huwa naongea na agent ahakikishe ananipanga na mtoto mzuri kwenye siti,safari inakuwa fupiπŸ˜€πŸ˜€
Tatizo la watoto wengi wazuri warudipo makwao wanakuwa na afya mgogoro, ni kama wanakwenda kusubiri kufa huko. So ukiwa mjinga na kutaka kulala na kila mrembo anayesafiri utakuja kujizolea maradhi yasiyotibika mkuu. Be very careful na hawa dada zetu.
 
Matatizo ya afya ya akili yanaanza taratibu,
 
Nimetoka south kwa bus. Mimi nitakua masikini wakutupwa, maana December naenda tena kwa basi hivyo hivyo.
 
Umeshiba maharage ya wapi wewe. Kwa hiyo hata mabasi ya mikoani inabidi iwepo sheria ya km 800 unazozisema mbona kuna mengine yanakwenda Afrika Kusini sasa hao wanaosafiri na mabasi hayo utasemaje. Shibe mwana malevya kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…