Hii miaka minne mitano baridi imepungua nafikiri mabadiliko ya tabia nchi. Lakini miaka ya nyuma ilikuwa balaa buluuNilikuwa naambiwa arusha baridi kali....ila nilipoenda, ni baridi ya kawaida tu. Hakuna maajabu.
Its all relative sasa wanaoishi Oymyakon wasemeje ?, inagonga mpaka -60 centrigradeMtoa mada ushawahi kufika japo hata cape town south África?usingesema Tanzania kuna baridi!!ushawahi kukutana na maximum nyuzi joto 5?
Labda...nilikuwako huko 2014-2016. Ila napenda cool weather, hili jua la Dom siyo kabisa...😀Hii miaka minne mitano baridi imepungua nafikiri mabadiliko ya tabia nchi. Lakini miaka ya nyuma ilikuwa balaa buluu
Huko watoto WA shule ya msingi wanaambiwa wasije shule mpaka kupambazuke vizuri. Saa nyingine Hadi saa 3 asubuhi bado kumefunga, ukungu hivyo ni hatari kuvuka kwenye mabarabara hasa Barabara kuu (highway).Mimi chuga na njombe kote nimefika...chuga ikasome...sasa kuna Mufindi! Miez ya 6 had oct hakufai
Njombe kata ya Lupembe ni balaaa kubwa mwaka juzi nilikuwa huko kuuza maziwa kwenye kiwanda Cha chai duuu hapafaiMimi chuga na njombe kote nimefika...chuga ikasome...sasa kuna Mufindi! Miez ya 6 had oct hakufai
Sisi wa Lushoto acha tukae kimya maana sijui mnachoongea wakati asubuhi barafu ilikua juu ya bati letu. Pale mto mgwiashighi upande huu wa kandeekampaa barafu imetawala wiki Sasa.Mimi chuga na njombe kote nimefika...chuga ikasome...sasa kuna Mufindi! Miez ya 6 had oct hakufai
Unauzaje maziwa mkuu? Au ulikua una ngombe? Biashara ya maziwa nimejifunzia kwenye hivyo viwanda since kabinti kadogooo! Hahaa factories zote wanachukua bill..lol..those daysNjombe kata ya Lupembe ni balaaa kubwa mwaka juzi nilikuwa huko kuuza maziwa kwenye kiwanda Cha chai duuu hapafai
Acha kbs nashangaa sikuwahi fikiria kuwa mtoro..leo hii ningepelekwa huko kusoma ningekua mtoro ajabuHuko watoto WA shule ya msingi wanaambiwa wasije shule mpaka kupambazuke vizuri. Saa nyingine Hadi saa 3 asubuhi bado kumefunga, ukungu hivyo ni hatari kuvuka kwenye mabarabara hasa Barabara kuu (highway).
Sasa mkuu ukisikia Muuza maziwa Changanya na zako cc msoga🤸🤸🤸🤸Unauzaje maziwa mkuu? Au ulikua una ngombe? Biashara ya maziwa nimejifunzia kwenye hivyo viwanda since kabinti kadogooo! Hahaa factories zote wanachukua bill..lol..those days
Ingekuwa unachapwa mboko vibaya yaan, na shule za enzi zetu mwalimu kukutia mtama ni Jambo la kawaida tu☹️, sio mitoto ya siku hizi inamdekea hadi mwalimuAcha kbs nashangaa sikuwahi fikiria kuwa mtoro..leo hii ningepelekwa huko kusoma ningekua mtoro ajabu
Kweli Bora mnyamaze 😂😂. Dar kuna vijitu vimeanza kuvaa masweta, vinachekesha!.Sisi wa Lushoto acha tukae kimya maana sijui mnachoongea wakati asubuhi barafu ilikua juu ya bati letu. Pale mto mgwiashighi upande huu wa kandeekampaa barafu imetawala wiki Sasa.
Nlikuwa nkijiuliza sana manengelo alienda wapiNdiyo mkuu
Kama lile la juzi shule ya kiislam lililocharazwa mgongoni .nilipata hasira balaa mitoto imedeka had kero ..enzi zetu tulipigika ..Ingekuwa unachapwa mboko vibaya yaan, na shule za enzi zetu mwalimu kukutia mtama ni Jambo la kawaida tu☹️, sio mitoto ya siku hizi inamdekea hadi mwalimu
Kabla ya uharibifu wa mazingira miaka ya 70 kulikuwa na barafu inamwagika kwenye majani asubuhi ilikuwa unakuta majani kama yamemwagiwa ungaKwa Tanzania njombe namba moja baridi
Wee sweet wewe bwana ..! Jamani...khaa..hahaaa....nipo mamalake🥰Nlikuwa nkijiuliza sana manengelo alienda wapi
Blanket inapiga kazi miaka miwili bila kuona maji chawa si chawa waleDah umenikumbusha mbali sana, makete balaaa, sidhani kama kuna wilaya ina baridi kama hiyo.
Yan asubuhi barafu zimetanda kwa pahala, guest karibu zote zina. Majiko ya mikaa kwa ajili ya wageni kuota moto
Na saa4 yanakuwa na rangi ya blown..yameugua...chai inaungua,majani ya viazi mviringo yanaungua .jaman dahKabla ya uharibifu wa mazingira miaka ya 70 kulikuwa na barafu inamwagika kwenye majani asubuhi ilikuwa unakuta majani kama yamemwagiwa unga
🤣🤣 mkaenda ranchi ya sao hill mkazuia mitamba wote ati ya Jk ..Ila nyie!..gatch ya'!Sasa mkuu ukisikia Muuza maziwa Changanya na zako cc msoga🤸🤸🤸🤸