Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,252
- 2,253
Ni kweli ukiwa Mbeya,Iringa na Niombe Maharage yanachukua mda mrefu sana kuchacha. Huwa yanaenda siku 4 hadi 5 ndo yanachacha. Wakati mikoa ya joto ni siku moja tu.Mbeya nadhani imezidi nimepika maharage Leo Siku ya nne hayajachacha hata
Mimi chuga na njombe kote nimefika...chuga ikasome...sasa kuna Mufindi! Miez ya 6 had oct hakufai
Kawaida ya wabongo unawaambia kitu wao wanaanza linganisha na vyaoLeo siongei habari za Cape town naongea za Arusha.
Nq mimi mara ya kwanza kuingia Iringa ilikuwa juni 1997.siku ya kwanza nilivaa nguo zote zilizokuwa kwenye begi,soksi na viatu,mablanketi ya kutosha,nikalala,lakini baridi linapenya.baada ya miaka kadhaa nilizoea,nikawa navaa sweta moja tu.97 naingia iringa mjini nikitokea morogoro, nakumbuka ilikuaa saa 4usiku, niliingia ndani, nikaitiwa msosi nikagoma kutoka ndani,nikaachwa nilale, asubuhi naamshwa kuonga na kunywa chai namuangalia dada aliyenifata kwa umakin"unasemaa"mimi huyo nikaoge!!! Aaaa wee.
Nikajigubika na kulala tena, nilikuja kuweza kuamka saa nne.
Ule mkoa bana acha tu. Baridi na inapiga mruzi, yaani asubuhi mmeamka mnakwenda stand, kubeba begi au mfuko nia dhabu, maana unatamani mikono ushike kifua muda wote.
Wa huku Njombe tunaogopa kwenda huko kwa hofu ya baridi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbeya nadhani imezidi nimepika maharage Leo Siku ya nne hayajachacha hata
Mbona wenyeji tunavaa mpaka shorts fresh tu , usiwatisheKwa taarifa yako kama una mpango wa kuja pande hizi za A- City [emoji2516] ujipange
Baridi ni kali mno
The Hublabda sisi tumeizoea maana jana nimekaa club moja tena nje nimekunywa kvant hadi saa tisa usiku na sina hata koti..
Kitulo has the lowest temperature degrees in the whole Tanzania.Nadhani anaisikia tu, akifika Njombe aende Kitulo pia halafu aje na mrejesho
Nilikunywa uji nikaungua umejuaje[emoji16][emoji16][emoji16]Hahahaaaaa, ulikunywa chai Mkuu??!! vipi baada ya kuungua ulimi maumivu ulikwenda kuyasikia ukiwa Kitonga [emoji23]
Nyuzi ngapi sentigredi? Kusema baridi kali ni subjective sana -quantifyKwa taarifa yako kama una mpango wa kuja pande hizi za A- City [emoji2516] ujipange
Baridi ni kali mno
Mtu katoa taarifa za Arusha, wewe unaleta habari za south Africa, wabongo kwa kujifanya much know!Mtoa mada ushawahi kufika japo hata cape town south África?usingesema Tanzania kuna baridi!!ushawahi kukutana na maximum nyuzi joto 5?
Kuna jamaa alitoka Arusha nilikutana nae Mbeya ndo akaniambia kule muda mwingi wanakuwa msimu wa baridi watu wapo na makoti mazito, mizura na gloves mikononi, so nkajua huku Mbeya au Njombe cha mtotoUnaogopa kwenda Arusha??
Arusha kawaida Sana Mkuu ukilinganisha na njombe
Wa Karatu watasemaje? Kwa Mkoa wa Arusha sehemu yenye Baridi ya kutisha ni Karatu,Kwa taarifa yako kama una mpango wa kuja pande hizi za A- City [emoji2516] ujipange
Baridi ni kali mno