Kama unatafuta nyumba ya kupanga DSM, kuna vitu vya kuzingatia usivichukulie poa!

Khah yaani mtu kahangaika kujenga kwa mamilioni wewe na 40,00 yako ndio ujifanye kupanga masharti ya asiishi na ndugu sake. Mjenge nyumba zenu mujue ugumu wa ujenzi. Kupanga kwa uswahili nibinafsi naona ni utumwa.
 
Yes...nilikuwa nataka nyumba kwa haraka na nilishachoka kuzunguka na madalali karibia weeek nzima nazunguka tu
Hapa natamani mtu tubadilishane
Mimi huwa nakikisha dalali nimempa sifa zote za nyumba ninazotaka.
Anipeleke kunionyesha nyumba yenye sifa nilizompa.
Tukifika mimi ni kuelewana na mwenye nyumba.
Hii huwa inanipunguzia usumbufu wa kuzunguka.
 
Khah yaani mtu kahangaika kujenga kwa mamilioni wewe na 40,00 yako ndio ujifanye kupanga masharti ya asiishi na ndugu sake. Mjenge nyumba zenu mujue ugumu wa ujenzi. Kupanga kwa uswahili nibinafsi naona ni utumwa.
Ile ni biashara sio hisani

Hata mabasi watu wamenunua kwa mamilioni.
Ili mimi na nauli yangu isiyozidi laki nasikilizwa nina taka nini.
Usiponisikiliza sipandi hilo gari.
 
Nyumba ninayokaa sasa hivi natamani iwe nyumba yangu ya mwisho ya kupanga,,nina amani na nyumba iko safi sana .
1.Waoangaji wa 4 kila mmoja anajitegemea umeme(mita kila mtu na yake),maji bure masaa 24,usafi elfu 3 kwa mwezi,choo self.

2.kuna fensi na uwanja mkubwa so ukiwa na usafiri unatosha kulaza gari 5.

3. Vyumba vikubwa sana na wapangaji tupo wa 4 tu na hakuna mwenye familia so muda wote ni kimya hakuna kelele.

4. Kodi bei chee na mwenye nyumba hana njaa hata kidogo.

5.Hakuna mahala panapovuja kiufupi nimeokota dodo kwenye mnazi.

6.Mwenye nyumba hakai hapa😁
 
Hapo kwa kila mpangaji kupiga mziki wake, huyu singeli, Yule kwaya, na upuuzi, mwingine, ni balaa, hapa ninapoishi, kuna mmoja ikifika saa mbili usiku,anawasha subwoofer lake LA mchina,anapiga mziki mpaka saa 10asubuh,! Kuna siku ni me lala mapema, nikawa naota kama nafukuzwa na nguruwe poli, na, makelele Yao, nikashituka, kumbe Yule jirani anapiga mziki balaa, kama saa tano usiku, nilichomoka nikamgongea kwa hasira, ilikuwa kidogo nimpe kichwa cha USO,
 
Hafu unakuta yeye amelala fresh kabisa na anakoroma.
 
Dah mkuu, nakushauri usiondoke hapo. Labda kuwe na sababu ya ulazima sana maana utakapoenda utajuta
 
Ile ni biashara sio hisani

Hata mabasi watu wamenunua kwa mamilioni.
Ili mimi na nauli yangu isiyozidi laki nasikilizwa nina taka nini.
Usiponisikiliza sipandi hilo gari.
Usikilizwe kwa uzinzi utie mikosi nyumba za watu? Au upige mikelele na misub wofer usiku kucha?. Mnaolalamika sasa ni sale msio na HeLa mnazikimbia nyumba zinazoendeshwa hasa kibiashara. Mkikosa Kodi mnataka msikilizwe na hapo mnasahau kuwa nyumba za watu ni biashara.
 
Dah
 
Nimeshayatimba leo leo tu
 
Dah mkuu, nakushauri usiondoke hapo. Labda kuwe na sababu ya ulazima sana maana utakapoenda utajuta
Hapa siondoki aisee kwanza hata rafiki zangu wakija wanasema mtu akihama niwashtue.

Kuna jamaa alihama mwezi wa 4 now anapiga simu kunikumbusha mtu akitoka ili arudi ,mwenye nyumba huyu ni muungwana na hategemei kodi.

Nilihamia mwaka jana mwezi wa 7 lakini kodi inaisha najikuta siko poa ajabu hutaona simu yake wala sms kuuliza kodi ,hata kodi ninayotumia sasa nilikaa miezi miwili kodi ikiwa imeisha na wala sijatumiwa ujumbe wala sms ajabu nimelipa baada ya siku 49 lakini mkataba akaanzia mwezi mmoja nikashaangaa nilijua labda kakosea nikamvutia waya akasema nitulie wala hakuna shida ndo kuna jamaa akanisanua mzee hana noma.

SIHAMIIIII HAPA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…