Shangazii nimekumic pia.Aunt nimekumiss
Uzi unachekesha sana nilichogundua wanaume sio jasiri kabisa [emoji3][emoji3][emoji3]
Cheka tu maana ni kichekesho 😂😂😂😂Nimecheka balaa
😀😀Shangazii nimekumic pia.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe wakitongozwaa wanachimba chinii.
Kikongwe jaman, watoto wawili kwenye ndoaUko na umri sasa mleta uzi?
Nimekuhamu ghafla
Muhimu ukubali, hayo ya pesa yanazungumzika[emoji23]
Sasa wewe utamkabili kivipi mtu ?Kumbe kuna watu huwa wanaangalia watu machoni?
Binafsi siwezi, wakati wa kukua niligombezwa sana niache ila ilishindikana.
Awe mwanaume awe mwanamke, sitazami mtu machoni mimi.
Siwewe ulinifuata inbox ukanitishia 🤣🤣🤣ikabidi nichart na wewe kimapenzi 😪Lenie unaona ? 😅
Hawapendi kabisa kutongozwaAunt nimekumiss
Uzi unachekesha sana nilichogundua wanaume sio jasiri kabisa 😀😀😀
Kuwa na watoto ndio unanikwepa binti?Kikongwe jaman, watoto wawili kwenye ndoa
Mimi huyo? Sijawai fuata mtu na kumtishaSiwewe ulinifuata inbox ukanitishia 🤣🤣🤣ikabidi nichart na wewe kimapenzi 😪
Unafanya masihara na genye. Alikua anajua umeshajaa alafu unaleta mizinguo[emoji23]Umenikumbusha mwanzo kabisa humu jf kuna mtu nilikuwa namtania kwenye comments si akanifata pm akajua niko serious [emoji1787]
Nilivyomwambia nilikuwa nakutania alinichamba sina hamu!![emoji119]
Eti “Ukome kunibebisha kama unajua hauko serious” [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umenitisha si kweli siuseme Lenie nisaidieMimi huyo? Sijawai fuata mtu na kumtisha
Walikua wazembe sana. Unanitongoza hapo hapo naomba mbususu chaptulikuwa tukienda direct, sentensi baada ya sentensi and very bold mpaka mkaka anashindwa to control the discussion, tulikuwa hatuachi nafasi ya mkaka to took the control
Unafanya masihara na genye. Alikua anajua umeshajaa alafu unaleta mizinguo[emoji23]
Sina tabia hizo@
Umenitisha si kweli siuseme Lenie nisaidie
Alikuwaje, kwani ni lazima ujenge kibanda,Si jambo la kushangaza hilo. Na wanaocheka wanakua hawajakomaa kiakili.
Mwanamke akitongoza ni ishara kamili amevutiwa kihisia na wewe. My first love nakumbuka alinitongoza, back then nilikua mtu wa aibu sana. Tulidumu mda mrefu, circumstances za maisha zikatupoteza na sasa ameshaolewa. I wish nothing but the best for her.
Ila nimeshatongozwa mara tatu baada ya hapo. Ni pisi moja tu ndio niliichomolea. Tena kistaarabu tu. Alikua workmate. Pigo zake za kifeminist na kutaka kushindana na wanaume zilikua zinanikata stim. She was completely out of my league.
Hua nikifikiri najikuta nabaki kuchekaHome Arusha, Baba Mngoni, mama mchagga
Wanaume tupeni uzoefu mlipotongozwa live live bila tafsida na wanawake.....
Personally huu wehu alinifundisha mwanachuo mwenzangu flani tukiwa Kenya..... tukichoka kusoma ni muda wa kuanza kutongoza wanaume, wakaka, wababa wanajiona wajanja kuongea sana sasa jitie wenda wazimu jaribu kumtongoza seriously mkaka au mbaba uone wanavyojiuma, utajichekea mpaka uzimie
Kesho kawatongoze wanaume ofisini au sehemu yako ya kazi uone wanavoongea kama mtoto wa miaka mitatu
(HIKI NACHOANDIKA KWENYE MABANO SIO SEHEMU YA MJADALA : ni mwiko kwa mwanamke uliye na ndoa kuchepuka, hamna sababu ya kuhalilsha hilo hata kama mmeo ni mwingi huko njee, shoga endelea...tukikwambia unatuona sisi washamba endelea)
Unajipa moyo tu ww,Walikuwa sio mabaharia.Mwanaume hatongozwi kirahisi hivyo...Sana sana utaumia tu...tulikuwa tukienda direct, sentensi baada ya sentensi and very bold mpaka mkaka anashindwa to control the discussion, tulikuwa hatuachi nafasi ya mkaka to took the control
Shangaziii niwachee khaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
Wanakuwa kwenye vere klitiko kondishen[emoji23][emoji23]