Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Muhimu ukubali, hayo ya pesa yanazungumzika[emoji23]

Umenikumbusha mwanzo kabisa humu jf kuna mtu nilikuwa namtania kwenye comments si akanifata pm akajua niko serious [emoji1787]

Nilivyomwambia nilikuwa nakutania alinichamba sina hamu!![emoji119]
Eti “Ukome kunibebisha kama unajua hauko serious” [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kumbe kuna watu huwa wanaangalia watu machoni?
Binafsi siwezi, wakati wa kukua niligombezwa sana niache ila ilishindikana.
Awe mwanaume awe mwanamke, sitazami mtu machoni mimi.
Sasa wewe utamkabili kivipi mtu ?
 
Umenikumbusha mwanzo kabisa humu jf kuna mtu nilikuwa namtania kwenye comments si akanifata pm akajua niko serious [emoji1787]

Nilivyomwambia nilikuwa nakutania alinichamba sina hamu!![emoji119]
Eti “Ukome kunibebisha kama unajua hauko serious” [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unafanya masihara na genye. Alikua anajua umeshajaa alafu unaleta mizinguo[emoji23]
 
tulikuwa tukienda direct, sentensi baada ya sentensi and very bold mpaka mkaka anashindwa to control the discussion, tulikuwa hatuachi nafasi ya mkaka to took the control
Walikua wazembe sana. Unanitongoza hapo hapo naomba mbususu chap
 
Si jambo la kushangaza hilo. Na wanaocheka wanakua hawajakomaa kiakili.

Mwanamke akitongoza ni ishara kamili amevutiwa kihisia na wewe. My first love nakumbuka alinitongoza, back then nilikua mtu wa aibu sana. Tulidumu mda mrefu, circumstances za maisha zikatupoteza na sasa ameshaolewa. I wish nothing but the best for her.

Ila nimeshatongozwa mara tatu baada ya hapo. Ni pisi moja tu ndio niliichomolea. Tena kistaarabu tu. Alikua workmate. Pigo zake za kifeminist na kutaka kushindana na wanaume zilikua zinanikata stim. She was completely out of my league.
Alikuwaje, kwani ni lazima ujenge kibanda,
 
Home Arusha, Baba Mngoni, mama mchagga

Wanaume tupeni uzoefu mlipotongozwa live live bila tafsida na wanawake.....

Personally huu wehu alinifundisha mwanachuo mwenzangu flani tukiwa Kenya..... tukichoka kusoma ni muda wa kuanza kutongoza wanaume, wakaka, wababa wanajiona wajanja kuongea sana sasa jitie wenda wazimu jaribu kumtongoza seriously mkaka au mbaba uone wanavyojiuma, utajichekea mpaka uzimie

Kesho kawatongoze wanaume ofisini au sehemu yako ya kazi uone wanavoongea kama mtoto wa miaka mitatu

(HIKI NACHOANDIKA KWENYE MABANO SIO SEHEMU YA MJADALA : ni mwiko kwa mwanamke uliye na ndoa kuchepuka, hamna sababu ya kuhalilsha hilo hata kama mmeo ni mwingi huko njee, shoga endelea...tukikwambia unatuona sisi washamba endelea)
Hua nikifikiri najikuta nabaki kucheka
 
tulikuwa tukienda direct, sentensi baada ya sentensi and very bold mpaka mkaka anashindwa to control the discussion, tulikuwa hatuachi nafasi ya mkaka to took the control
Unajipa moyo tu ww,Walikuwa sio mabaharia.Mwanaume hatongozwi kirahisi hivyo...Sana sana utaumia tu...
 
Back
Top Bottom