Kama unataka kucheka tongoza wanaume. Wataongea kama kitoto cha miaka mitatu

Ukileta huo utani kwangu nakufukuza coz huwa sio mtu wa mzaha mzaha
 
Mfano unakutana na mtu Kama makaveli10 hapo hajui kukataa, ukimwambia nataka nikubusu anakujibu "come on babe" unafanyaje?
Mi Kwa kweli siwezi kucheza na MotoπŸ˜‚πŸ˜‚
Tena asijitusu, mie sinaga utani..
Akishaniambia ananipenda sisubiri aniombe kunibusu, jibu langu namuomba denda kabisa, ili ajue nimekubali mazima.
 
β€ŠUmenikumbusha wakati nipo undergraduate, kuna mrembo mmoja alianza mazoea na mm akanitongoza tulipofanya mapenzi tuu akaniacha, aisee siwez sahau ile kitu.
Alinifanyia ile HIT AND RUN, sikuamini macho yangu.
 
Mlongo kyanii..!!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…