Fall Army Worm
JF-Expert Member
- Jan 8, 2015
- 19,355
- 14,408
Ulituangusha sana Wajuba wenzakoUtomboy unaanzaga hvyo hvyo
Kuna binti alikuwa anavaa kiume afu anaenda disco anaanza kutongoza mademu wenzie akawa anafurah kuwaona wanavyotulia kumsikiliza
Nilienda chuo nikawa nasoma na madogo niliowazid miaka kama 10+ sasa kikatokea kibinti kidogo kiumri na kimwili kakanizoea sana kakawa kanakaa na mimi, siku moja kakaniambia kananipenda na brabra kadhaa hadi nilishangaa niliishia kukasapoti tu ila sikukamega
Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app