Kama unataka kufanikiwa kweye maisha, acha kufanya kazi za kimasikini zenye asili ya kimasikini.

Kifulu

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2021
Posts
557
Reaction score
2,064
Fanya kazi au biashara ambayo unaweza kukuinua, kuna kazi ukifanya automatically umejiandaa kuwa masikini.

Kazi zenye asili za kimasikini ni zile kazi ngumu ngumu zenye malipo madogo.

HUWEZI kujenga au kuwa na maisha ya maana kwa kazi ya Bodaboda nk

Fanya biashara ambayo histologically zimewatoa watu wengin. Haijalishi una mtaji ndogo au vipi.

Kazi zenye asili ya umasikini.
Ualimu
Upolisi
Bodaboda
Kumwaga zege
Uvuvi

Hapa nazungumzia local participants
 
Hapo umezungumzia kazi za watu wa makundi mawili, waajiriwa na vibarua.
Waajiriwa ni POLISI, na WAALIMU. Hawa sasa ndio ujumbe huu unawahusu kwa asilimia kubwa.
Lakini hao wengine ni vibarua ambao wanaweza wakawa wanafanya hiyo kazi kwaajili tu ya kupata mtaji kisha wanaweza kuacha.
Na pia sipingani na wewe bali nimefafanua tu kwa ziada.
 
Sahihi.
 
Mafanikio ni muunganiko wa jitihada ndogo ndogo nyingi. Huwezi kuanza tu kufanikiwa bila kupitia michakato. Wengi walianzia chini na kufika juu kwenye mafanikio. Pia BAHATI INAHUSIKA.
Kuna kazi ukifanya automatically unajiweka kwenye Giza la umasikini na kufanikiwa inakuwa ngumu, binafsi nimefanya kazi hizo najua mfano uvivu mtu anaiishi ili ale tu hakuna kingine
 
Mtoa mada Huna akili narudia tena kusema Huna akili.. usiiishi kwa mazoea mimi ni boda boda na nina uhakika kabisa hunipati kipato changu cha mwezi wala maisha ninayoishi bro sijui dada.. usikalili pesa ninayoingiza kwa siku ni 50000 kwa wiki ni 350000 na kwa mwezi ni 10400000 we unalipwa bei gan kwa mwezi tuanzie hapo
 
Wewe ni mpumbavu mkubwa kabisa, kazi ya Bodaboda naijua nimefanya zaidi ya miaka 3 huwezi kunidanganya kitu, niambie unafanya wapi?
Ili kuonesha Huna akili kama umeingiza 50k per day kwa mwaka lazima ungekuwa na biashara ingine ila kwakuwa kazi unayofanya ina laaana hujawaza nje ya box.
Wewe ni muongo na mpumbavu mkubwa
 
Hapo umezungumzia kazi za watu wa makundi mawili, waajiriwa na vibarua.
Waajiriwa ni POLISI, na WAALIMU. Hawa sasa ndio ujumbe huu unawahusu kwa asilimia kubwa.
Lakini hao wengine ni vibarua ambao wanaweza wakawa wanafanya hiyo kazi kwaajili tu ya kupata mtaji kisha wanaweza kuacha.
Na pia sipingani na wewe bali nimefafanua tu kwa ziada.
Pia hao walim na polisi Kuna wachache wanafanya hizo kazi kwa lengo la kupata mtaji then wanaacha kazi
 
Wewe ni mpumbavu mkubwa kabisa, kazi ya Bodaboda naijua nimefanya zaidi ya miaka 3 huwezi kunidanganya kitu, niambie unafanya wapi?
Ili kuonesha Huna akili kama umeingiza 50k per day kwa mwaka lazima ungekuwa na biashara ingine ila kwakuwa kazi unayofanya ina laaana hujawaza nje ya box.
Wewe ni muongo na mpumbavu mkubwa
Matusi Tena!!? Ukimjibu kwa ustaarabu unapungukiwa nini?
Labda tumetofautiana malezi na mitaa tuliyokulia,siwezi mtukana mtu kiukweli.
 
Back
Top Bottom