Kama unataka kufanikiwa kweye maisha, acha kufanya kazi za kimasikini zenye asili ya kimasikini.

Kama unataka kufanikiwa kweye maisha, acha kufanya kazi za kimasikini zenye asili ya kimasikini.

Huu UHURU wa kila mtu kujiandikia kila anachojisikia bila ya admins kufanyia censorship threads za aina hii, soon Jukwaa hili La JamiiForums linaenda kuwa moja ya Jukwaa linalochochea kwa Kasi watu kupata magonjwa ya akili ya Aina ya contents zinazoachiwa Ku trend na hazina msingi wowote katika kujenga Jamii iliyo Bora.

Uongozi wa JF huu UHURU Jaribuni kuupunguza tafadhalini Sana.

Cc. JamiiForums , Maxence Melo
If you can't stand the heat get out from the kitchen.

You can log out.

Jamii forums imekupa option ya kufanya hivyo.
 
Mtoa mada Huna akili narudia tena kusema Huna akili.. usiiishi kwa mazoea mimi ni boda boda na nina uhakika kabisa hunipati kipato changu cha mwezi wala maisha ninayoishi bro sijui dada.. usikalili pesa ninayoingiza kwa siku ni 50000 kwa wiki ni 350000 na kwa mwezi ni 10400000 we unalipwa bei gan kwa mwezi tuanzie hapo
Mwalimu anayelipwa take home 800,000/- ana maendeleo kukuzidi kwa sababu anaweza kukopa hata 30m,
 
Hapo umezungumzia kazi za watu wa makundi mawili, waajiriwa na vibarua.
Waajiriwa ni POLISI, na WAALIMU. Hawa sasa ndio ujumbe huu unawahusu kwa asilimia kubwa.
Lakini hao wengine ni vibarua ambao wanaweza wakawa wanafanya hiyo kazi kwaajili tu ya kupata mtaji kisha wanaweza kuacha.
Na pia sipingani na wewe bali nimefafanua tu kwa ziada.
Kuna mtu Ni mwalimu kajiajiri kafungua tuition Mwenge anapata hata 1 million kwa mwezi....Nakumbuka kipindi nipo form six...kipindi Cha likizo Kuna jamaa topic ya organic chemistry
anafundisha kwa 20,000 na wanafunzi kibao alikuwa anapata almost million 2
 
ELimu Elimu Elimu.

Kuna Bodaboda namjua ana miliki Bajaji 7 ,IST moja(Bolt) ,Kazi ni Kipimo cha UTU ,We are Proud KC Team ni Bilionea anauza makinikia used accessories.

Cc: Chris Lukosi
 
Kuna kazi ukifanya automatically unajiweka kwenye Giza la umasikini na kufanikiwa inakuwa ngumu, binafsi nimefanya kazi hizo najua mfano uvivu mtu anaiishi ili ale tu hakuna kingine
Ila uvuvi wapo wanapata hela nzuri mzee
 
Tayari akili Yako IPO limited nakuonea huruam sana ukiona biashara inaenda jitahidi kupanua wigo Sasa wewe unaona ushatoboa wakati unakufa anytime
Aliyesema nimetoboa ninani? Je nani hata kufa? Bodaboda ukiifanya sehemu nzuri kama Dar hukosi laki 7 kwa siku
 
Kuna wegine makamishna wa police nao ni masikini?
Kuna Maafisa Elimu Mkoa/wilaya nao ni masikini?
 
Back
Top Bottom