Sahihi.Hapo umezungumzia kazi za watu wa makundi mawili, waajiriwa na vibarua.
Waajiriwa ni POLISI, na WAALIMU. Hawa sasa ndio ujumbe huu unawahusu kwa asilimia kubwa.
Lakini hao wengine ni vibarua ambao wanaweza wakawa wanafanya hiyo kazi kwaajili tu ya kupata mtaji kisha wanaweza kuacha.
Na pia sipingani na wewe bali nimefafanua tu kwa ziada.
Kuna kazi ukifanya automatically unajiweka kwenye Giza la umasikini na kufanikiwa inakuwa ngumu, binafsi nimefanya kazi hizo najua mfano uvivu mtu anaiishi ili ale tu hakuna kingineMafanikio ni muunganiko wa jitihada ndogo ndogo nyingi. Huwezi kuanza tu kufanikiwa bila kupitia michakato. Wengi walianzia chini na kufika juu kwenye mafanikio. Pia BAHATI INAHUSIKA.
Huo ni mtazamo wako wa hovyo.Kuna kazi ukifanya automatically unajiweka kwenye Giza la umasikini na kufanikiwa inakuwa ngumu, binafsi nimefanya kazi hizo najua mfano uvivu mtu anaiishi ili ale tu hakuna kingine
Wewe ni mpumbavu mkubwa kabisa, kazi ya Bodaboda naijua nimefanya zaidi ya miaka 3 huwezi kunidanganya kitu, niambie unafanya wapi?Mtoa mada Huna akili narudia tena kusema Huna akili.. usiiishi kwa mazoea mimi ni boda boda na nina uhakika kabisa hunipati kipato changu cha mwezi wala maisha ninayoishi bro sijui dada.. usikalili pesa ninayoingiza kwa siku ni 50000 kwa wiki ni 350000 na kwa mwezi ni 10400000 we unalipwa bei gan kwa mwezi tuanzie hapo
Hakuna kitu kama hiko hakuna Bodaboda anaeweza kujenga ya 30m kama Kuna Bodaboda unamjua kajenga nyumba ya 30m aje hapa nimpe 500k cashNyumba ninayoishi kama boda boda huenda ni ya ndoto zako
Typing error I mean historicallyUnajua maana ya histologically au unajiandikia maneno yoyote yanayokuja kichwani?
Pia hao walim na polisi Kuna wachache wanafanya hizo kazi kwa lengo la kupata mtaji then wanaacha kaziHapo umezungumzia kazi za watu wa makundi mawili, waajiriwa na vibarua.
Waajiriwa ni POLISI, na WAALIMU. Hawa sasa ndio ujumbe huu unawahusu kwa asilimia kubwa.
Lakini hao wengine ni vibarua ambao wanaweza wakawa wanafanya hiyo kazi kwaajili tu ya kupata mtaji kisha wanaweza kuacha.
Na pia sipingani na wewe bali nimefafanua tu kwa ziada.
Matusi Tena!!? Ukimjibu kwa ustaarabu unapungukiwa nini?Wewe ni mpumbavu mkubwa kabisa, kazi ya Bodaboda naijua nimefanya zaidi ya miaka 3 huwezi kunidanganya kitu, niambie unafanya wapi?
Ili kuonesha Huna akili kama umeingiza 50k per day kwa mwaka lazima ungekuwa na biashara ingine ila kwakuwa kazi unayofanya ina laaana hujawaza nje ya box.
Wewe ni muongo na mpumbavu mkubwa