Kama unataka kufanikiwa kweye maisha, acha kufanya kazi za kimasikini zenye asili ya kimasikini.

If you can't stand the heat get out from the kitchen.

You can log out.

Jamii forums imekupa option ya kufanya hivyo.
 
Mwalimu anayelipwa take home 800,000/- ana maendeleo kukuzidi kwa sababu anaweza kukopa hata 30m,
 
Kuna mtu Ni mwalimu kajiajiri kafungua tuition Mwenge anapata hata 1 million kwa mwezi....Nakumbuka kipindi nipo form six...kipindi Cha likizo Kuna jamaa topic ya organic chemistry
anafundisha kwa 20,000 na wanafunzi kibao alikuwa anapata almost million 2
 
ELimu Elimu Elimu.

Kuna Bodaboda namjua ana miliki Bajaji 7 ,IST moja(Bolt) ,Kazi ni Kipimo cha UTU ,We are Proud KC Team ni Bilionea anauza makinikia used accessories.

Cc: Chris Lukosi
 
Kuna kazi ukifanya automatically unajiweka kwenye Giza la umasikini na kufanikiwa inakuwa ngumu, binafsi nimefanya kazi hizo najua mfano uvivu mtu anaiishi ili ale tu hakuna kingine
Ila uvuvi wapo wanapata hela nzuri mzee
 
Tayari akili Yako IPO limited nakuonea huruam sana ukiona biashara inaenda jitahidi kupanua wigo Sasa wewe unaona ushatoboa wakati unakufa anytime
Aliyesema nimetoboa ninani? Je nani hata kufa? Bodaboda ukiifanya sehemu nzuri kama Dar hukosi laki 7 kwa siku
 
Kuna wegine makamishna wa police nao ni masikini?
Kuna Maafisa Elimu Mkoa/wilaya nao ni masikini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…