Kama unataka kufanikiwa kweye maisha, acha kufanya kazi za kimasikini zenye asili ya kimasikini.

Umeona mbali sana
 
Mtu anaweza akawa polisi akajibana akapata mtaji akafanya biashara akapiga hela...traffic police wanapiga sana hela barabarani humo
Wanafanya biashara gani humo barabarani? Au wanapiga kazi haramu barabarani? Unataka na walimu wawalipishe wanafunzi chaki ndo wafundishwe?
 
Ingawa maisha hayana formula lakini mtoa mada Yuko sawa kabisa... Mfano mwalimu kumiliki bilioni 100 possibility ni 0.000920088754111133642172417772
Unahisi ktk waajiriwa wote wa serikalini nani anaweza kumiliki bilioni 100 ndg mtoa ujumbe?
 
Mjibu kwa hoja na kwa mahesabu kama alivyotiririka yeye mwenyewe, siyo kumtukana.
 
Mwigulu mchemba hana hiyo hela?
Mbunge ni mwajiriwa wa serikalini? Uliwahi kuona lini serikali inatangaza ajira za mawaziri au wabunge?? Tukienda kwenye salary scale za watumishi tutakutana na ya mwigulu?
 
Sasa tajiri si utoe mwongozo unaoeleweka kuliko kuwachamba masikini
 
Hicho kitabu Cha machimbo ya kariakoo kipo wapi natak nianze kuuza vitunguu 😄
 
Pia hao walim na polisi Kuna wachache wanafanya hizo kazi kwa lengo la kupata mtaji then wanaacha kazi
Kuna wengine wanafanya kazi ya ualimu kwa ajili ya kupata tu hela ya sukari na mboga. Nje ya hapo wana miradi ya kati yenye uhakika wa kuingiza milioni 2.5+ kwa mwezi nje ya makato na gharama za uendeshaji wa miradi hiyo.
Maisha hayafanani kwa wote. Kuna watu wako BOT au TRA zinazotajwa kuwa na mishahara minono nchini lakini maisha na hali zao za kipato ni chini kuliko deiwaka wa TANESCO.
 
Kama kawaida ukiona mtu anayedharau kazi ya mtu mwingine anayepambana kihalali ambaye anaweza kupanda na kesho akabadili kazi huyo sio mpambanaji halisi na anakua hawezi kufanikiwa kirahisi .
 
Hakuna kitu kama hiko hakuna Bodaboda anaeweza kujenga ya 30m kama Kuna Bodaboda unamjua kajenga nyumba ya 30m aje hapa nimpe 500k cash
Kuna boda boda wanaingiza zaidi ya 100k kwa siku, yupo mmoja tangu 2020 huwa anabeba mizigo ya wateja ofisi. Juzi kaniambia ukishusha mzigo niambie nataka ninunue niweke store bei ikipanda ntauza nikajua ni utani.

Jana nimeshusha mzigo nikamwambia jamaa kachukua mzigo wa 10,500,000 halafu akalipa cash sikuamini.

Tuache kuzarau kazi za watu boda boda hana kodi ya frame,halipi taka,halipi lesen ya biashara halipi service levy halipi ulinzi,halipi TRA hata kama anapata elfu 30 per day hiyo haina makato yoyote wale jamaa wanaingiza hela nzuri sana ni vile watu wanawachukulia poa
 
Hicho kitabu Cha machimbo ya kariakoo kipo wapi natak nianze kuuza vitunguu 😄
Mimi sina 🤣 wanacho hao wahamasishaji ndo nasema afadhali yao anakupa kitabu cha machimbo na namba za simu ukajumue kwa bei nzuri ili na wewe ukauze kwa bei yako ufaidike ,

Sio hawa matajiri wa JF wakipata hela kazi kusema na kutukana wengine badala watoe mikakati
 
Kazi ya kuniinua ni wizi au uchawa.
 
Fikra zako haziko sahihi kila muda
Usitake unachoamini wewe muda wotee kikawe sahihi.

Nikiwa nimefanya kazi private miaka 3
Na serikalini miaka 13.

MTOA MADA YAKO SAHIHI
NA hao uliowa tag wampe zawadi.

#YNWA
#YANGA_BINGWA
Nimekaa chini na kutafakari na kuangalia uhalisia kisha nikagundua mleta mada yupo sahihi japo yamkini anaweza akaonekana ametumia ukali wa maneno ktk kuwakilisha hoja yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…