Shida ya matajiri wa JF ni kujisifu tu ila hamkunjui hizo fursa 🤣 mtu atakuja hapa anaeleza anavyopiga faida za Million 2 kwa siku mara ana UTT million 60 mwingine anawananga kazi za wengine za kimaskini ila hasemi ! Ooho nilitengeneza Mill 19 ndani ya week mbili wakifatwa inbox wanazamia !
Saa zingine tunawaza ni maskini wenzetu wako wanarelease stress kama tunavyojadili hapa Vita ya Ukraine na Russia mpaka tunakua na makundi ila mwisho wa siku hatuna impact yeyote kwenye hiyo vita yaan maoni yenu yanajaza tu server za JF zinakua hadi za moto ila tumo tu 🤣🤣
Tena mimi nawaonaga kina Kelvin kibenje na kina Nanauka na aina zake wanajitahidi kuliko matajiri wa JF huenda sio matajiri huenda hawana hela ila angalau wanashare maarifa anakwambia njoo nikuuzie kitabu cha machimbo ya kariakoo wewe utakaa ujifikirie uanze na nini hata ukiharibu mara ya kwanza mara ya kumi utakua umepata uzoefu wa nini cha kufanya.
Mwanaume wa Kweli njoo hapa toa miongozo oya wahuni iangalieni hii fursa hapa chezeni nayo elekeza mitaji ,elekeza kuanza kwake , changamoto zake , watu waulize maswali atakayeelewa mchezo anajitosa kuna siku ataandika uzi kukushukuru au atakufata binafsi , hizo ndo sadaka
Sasa matajiri wa JF mna vichambo 🤣🤣 manina zenu.