Kama unataka kuondoka kwenye umasikini, waepuke masikini kama ukoma

Tip Ukitaka utajiri wa haraka muibie Muajiri wako.

Hapo mbona ni fasta unaingia kwenye The Rich Club.
 
Mkuu, jenga utajiri na utaacha kuuliza maswali ya kijinga.
Dah...

Utakuwa na stress za maisha wewe...

Wapo wengi waliouza vitabu vya ku-inspire watu lakini mpaka leo wanauza vitabu na bado watakufa wanauza vitabu kama wewe..

Una Phd au MD lakini huna HELA unakuja kuuza vitabu kwenye mitandao..

You're are looser trying to make while everything has already fallen apart...

Sisi hatutafuti HELA kwa kuwafundisha watu wengine kutafuta HELA, bali tunatafuta HELA kwa kuwachulua watu wengine hata kile kidogo walichonacho

Nashukuru kwa kutambua kuwa kila binadamu mwenye akili timamu uendelea kujitoa UJINGA mpaka anapotoka Ulimwenguni

Yeah mimini MJINGA anayeendele kujitoa UJINGA kila siku..

Nipo hapa Oysterbay na WAJINGA wenzangu tunasafisha koo zetu
 
Mkuu,
Makasiriko ya nini?
Nani kakuuliza uko wapi na unafanya nini?
Unashindwa kudhibiti hisia kidogo hivi ukishika milioni mia si utachanganyikiwa kabisa?
Relax mkuu, make money, #NothingElseMatters
 
Njia ya uhakika ya kufika kwenye utajiri ni biashara au uwekezaji, ambavyo mtu unakuwa umefanya kwa muda mrefu.
Hizo nyingine ni kujifariji tu.
Hiyo ni njia clean lakini ndefu.anyway Hoja zako ni Mujarabu sana nimezipenda.
 
Mkuu,
Makasiriko ya nini?
Nani kakuuliza uko wapi na unafanya nini?
Unashindwa kudhibiti hisia kidogo hivi ukishika milioni mia si utachanganyikiwa kabisa?
Relax mkuu, make money, #NothingElseMatters
Hela ninazo tayari and BTW everything else matters... usijilishe ujinga...
 
Na ndefu ndiyo inayodumu.
Mchicha unaota ndani ya siku 3, hauwezi kudumu hata mwaka.
Mbuyu unaota miaka 7, unadumu mpaka miaka 100.
Hivyo tuweke nguvu zetu kwenye vitu vitakavyodumu.
Aisee nimekukubali wewe kichwa.
thinkstupid.png
 
Uwaepuke au uwatumie ipasavyo katika kuuendeleza utajiri wako...

Bila masikini hakujawa na tajiri bado
 
Ndio maana kuna Mikoa imejaa Masikini na Mikoa mingine imejaa Matajiri wa kubadilisha mboga.
 
Bongo hii unaweza kujikuta umebaki mwenyewe.
 
Haya mkuu wangu.
Kila la kheri.
Mkuu makirita amani kuna suala la msingi sana ningependa ushee na sisi ambalo ni " kipi kipimo cha utajiri kwako ?

Kwa sababu unapouza vitabu kuhusu tabia za kitajiri alafu huweki utajiri ni nini nadhani inakuwa haiko sawa.

Pengine maana ya utajiri unayoikusudia muuza kitabu ni tofauti na maana ya utajiri anayoikusudia msomaji.

So anasoma akitegemea atakuwa tajiri kwa maana anayoijua yeye msomaji,lakini anajikuta anaangukia kwenye utajiri ambao ameukusudia muuza kitabu,na hilo ni jambo ambalo litaleta utata kwa mnunuzi.

So kuna haja ya kueleza ni ipi maana ya utajiri kwa mujibu wa kitabu chako na msomaji atarajie kupata utajiri gani baada ya kusoma na kufanyia kazi kitabu chako ?
 
Uko sahihi kabisa mkuu,
Na ili upate jibu kwa upana, unapaswa kukisoma kitabu na kuielewa dhana nzima.
Sasa mtu anapokimbilia swali moja kwenye kitabu chenye page zaidi ya 200, ndiyo ninashangaa.
Karibu ujipatie kitabu mkuu, na kama ungependa ufafanuzi wa mengine mengi zaidi tunaweza kuwasiliana moja kwa moja.
Kupata kitabu wasiliana na watu wa mauzo kwa namba 0752 977 170
Kuwasiliana na mimi moja kwa moja (baada ya kuwa umenunua na kusoma kitabu) tumia namba 0717396253.
Karibu sana mkuu.
 
Mkuu samahani sana kwa sababu nadhani kwamba kitabu chako kinaelezea tabia za kitajiri ambazo ndio issue kubwa inayofanya kitabu hiko kiwe sokoni.

Na wala kitabu hiko chenye page 200 zote sidhani kama page hizo zinazungumzia nini maana ya utajiri,bali ninatumai kwamba maana ya neno utajiri hasa kwako haina ulazima wa kununua kitabu ndipo utuelekeze.

Kwa sababu maelezo yako katika uzi huu yakikadiriwa yanafika page hata moja.

So kama umeweza kuandika maelezo anayochukua page moja vipi ishindikane kuelezea maana ya utajiri ambayo huwenda isifike hata nusu page ikiwa utaamua kufupisha maana ?
 
Back
Top Bottom