Kama upimaji wa TEZI DUME ndiyo uko hivi naomba niandaliwe mapema tu Gereza langu kwani nitaua Mtu!

Status
Not open for further replies.
wanaume wa darisalama why hamtaki kuunga mkono juhudi za mkuu wenu kuweni wazalendo.
 
Ila uangalie huyo unayempima kwa kumshikashika anaweza kukugeuka ati, ohooo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mkuu kama kutakuwa ni kinyume na makubaliano humo ndani lazima damu zimwagike.
 
Poti. Umesahahu kwamba ni LAZIMA DAKTARI AKUPIME OIL ndani kabisa huko ambako ndiko tezu hukaa.

Lakini hawafanyi makusudi ndio njia sahihi ya upimaji.

Kuna magonjwa mengi na vipimo vingi tu ambavyo vinahusisha kupapaswa au kuwekewa vitu sehemu za siri.

Ieleweke kwamba kuna aina nyingine za kupima TEZI DUME pasipo udhalilishaji. Njia hizo ni ghali kidogo. Mfano ni kutumia CT SCAN na MRI au kupima ENZYMES kwenye damu zinazoendana na uwepo wa TEZI DUME.
 
Duh
Kumbe ndio hivyo wanaume kazi mnayo poleni sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aiseeee
 

Kwa ' Full Ndole Screening ' hawajanipata bado GENTAMYCINE na hata hiyo ya mashine nayo nina wasiwasi nayo na kwamba wanajaribu tu kutupanga / kututengeneza Kisaiokolojia ila ukweli ni kwamba Wanaume wa Dar es Salaam kuna hatari ' tukatambaliziwa ' mno ' Ndole ' na Madaktari wa Tezi Dume walioratibiwa na Mkuu wa Mkoa Makonda.
 
Nimesoma thread ya gentamicine ninajua kidogo anajua jambo zima, anatuhaminisha kuwa huo ndo utaalam wa kidaktari, nikagundua kuwa sometimes hatusomi maelekezo mazuri ila tunapenda sana kuweka mawazo yetu na kisha kutoa hukumu.
Nafikiri tukitumia Akili, maelekezo au kuwa wadadisi tutajua mengi sana
Nimesoma taarifa ya mheshimiwa Makonda na akasema kuwa kuna upotoshaji kama huo na akaendelea kusema kuwa kwa sasa WANAPIMA KWA KUCHUKUA SAMPLE YA DAMU. Hata kama mimi sio daktari nilimuelewa. Someni comments vizuri
 
Duh
Kumbe ndio hivyo wanaume kazi mnayo poleni sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Issue ni 1.5 Trillioni na maandamano ya tarehe 26, zinatafutwa tu porojo za kuwatowa watu kwenye reli.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…