casanova69
JF-Expert Member
- Sep 14, 2015
- 2,361
- 2,166
wanaume wa darisalama why hamtaki kuunga mkono juhudi za mkuu wenu kuweni wazalendo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama hakuna dr wa kike sitaki kupimwa
Mkuu ndio nani? Alisomea wapi udaktari?Mkuu kasema kipimo kitakachotumika ni kile cha damu na sio hiko kengine cha kutumia kidole.
Ila uangalie huyo unayempima kwa kumshikashika anaweza kukugeuka ati, ohooo[emoji3] [emoji3] [emoji3]Msijali daktari mwanamke nitakuwepo, wale wasiotaka kupimwa na wanaume watakuja kwangu niwafanyie vitu hivyo saba hapo juu,
Hahahaha kama nawaona vile mnavyoinama.
Halafu mbona upimaji wa kansa ya titi wanawake sio wabishi kuchezewa matiti yao?? nyie wanaume mna nini kwenye makalio yenu?
Kama hakuna dr wa kike sitaki kupimwa
hahaa kwa iyo wa kike utakubali akupige vidoleKama hakuna dr wa kike sitaki kupimwa
Mkuu kama kutakuwa ni kinyume na makubaliano humo ndani lazima damu zimwagike.Hiyo ni lugha ya kutushawishi / kututongoza tu Mkuu ila nasikia mambo yote huko ni ' Full Ndole Screening ' na nadhani pia umeweza hata kuviona Vidole vya Madaktari wetu wa Kiume vilivyo katika baadhi ya Picha zilizowekwa na Wadau katika ' Uzi ' huu huu.
Huyo naweza kumgeuka si tutakuwa wawili tu chumbani au!hahaa kwa iyo wa kike utakubali akupige vidole
Soma hapo mkuuMkuu ndio nani? Alisomea wapi udaktari?View attachment 753357
hahaa kwa iyo wa kike utakubali akupige vidole
AiseeeeNa kilichoniudhi na kunishtua zaidi Mkuu nimeambiwa kuwa 99.9% ya Madaktari wa Tezi Dume nchini Tanzania ni Wanaume watupu na kwamba Wanawake nchi nzima wako Watatu tu mmoja Nanjilinji mwingine Tandahimba na wa mwisho Kyaka Nkunde na kwamba ambao wako Mkoa wa Dar es Salaam ambako zoezi litaanzia wote ( 100% ) ni Wanaume. Nadhani sasa unaweza ukaona jinsi tatizo litakavyokuwa na jinsi watakavyokuwa na wakati mgumu hasa kwa Sisi Wanaume wa Bara tena wa kutoka Mkoani Mara ( Musoma ) kwa Wanamume wa ' Shoka '.
Poti. Umesahahu kwamba ni LAZIMA DAKTARI AKUPIME OIL ndani kabisa huko ambako ndiko tezu hukaa.
Lakini hawafanyi makusudi ndio njia sahihi ya upimaji.
Kuna magonjwa mengi na vipimo vingi tu ambavyo vinahusisha kupapaswa au kuwekewa vitu sehemu za siri.
Ieleweke kwamba kuna aina nyingine za kupima TEZI DUME pasipo udhalilishaji. Njia hizo ni ghali kidogo. Mfano ni kutumia CT SCAN na MRI au kupima ENZYMES kwenye damu zinazoendana na uwepo wa TEZI DUME.
Makonda ni mpuuzi tu, lazima ufanye Ultra sound ili uweze kuliona tezi lilivyokuwa.Soma hapo mkuuView attachment 753361
Kwanza Makonda ni mpumbavu tu hana akili, tezi linaweza kumpata Mwanaume kuanzia miaka 45 kwenda juu na si chini ya hapo.Kwahiyo umeamua ' Kufa ' na Tezi Dume lako Mkuu au?
hahaa hujafikilia mambo yakaenda tofauti na mipango yako ukachezewaHuyo naweza kumgeuka si tutakuwa wawili tu chumbani au!
Issue ni 1.5 Trillioni na maandamano ya tarehe 26, zinatafutwa tu porojo za kuwatowa watu kwenye reli.Duh
Kumbe ndio hivyo wanaume kazi mnayo poleni sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kumbe ni hivyo na watu hawatoki kwenye reliIssue ni 1.5 Trillioni na maandamano ya tarehe 26, zinatafutwa tu porojo za kuwatowa watu kwenye reli.