Kama ushawahi kuachwa kihivi, njoo utupe mkasa

eti ngombe na pembe zake ahahahaha [emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpuuzi sana yule manz tulipendana sana na tulikuwa na mipango mingi ya kimaisha tulikuwa majiran na ninapokaa siku moja kwao ulitokea msiba alifiwa na kaka ake na mimi nilikuwa mbali kikazi nilipopata taalifa najalibu kumpigia nimpe pole apokei cm yangu nikamtumia tu messeg pole sana na msiba i wish ningekuwepo ila baada ya siku mbili ndakuwa nimegeuka akujibu wala kupokea cm zangu ikapita kama mwezi tumekutana njiani ananiambia awez ishi na mtu mwenye ana upendo na familia yake ni heri kila mtu ashike amsin zake nikamwambia tu powa wakati uwo na stess za maisha kama zote mbaka leo sina dem wala nin napambana na kutafuta pesa mahusiano yapo tu na yananoga ukiwa na pesa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unautafuta umaskini, huyo ni SLAY QUEEN hana huruma na wewe ni pesa tu.

Hapo kakublock kahamia kwa msela mwingine. Angekuwa anakutegemea wewe peke yako angejishusha sana, narudia kaa mbali na slay queens watakupa umaskini na mwisho watakuacha unashangaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
alivyo kanyaga tu chuo akanilamba ujumbe 'ana mpz wake niache kumsumbua' sikuwahi jibu msg yake baada ya miaka kadhaa akamaliza chuo, akapata kazi maisha safi mie bado naganga njaa ila sikuwahi mfata kimapenzi zaidi ya salamu

nikapata pa kushika mambo yakaanza nyooka ananiletea stori uza tuoane ili tuweze fanya maisha pamoja. hela anayo nami nna mawazo ya kishetani juu yake (ngoja tu nijiweke mbali nae)
 
Ukipata muda kunywa savanah mbili half ukalale ukiamka yote yameisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi sijawahi kuachwa. Mara zote mimi nikuwa ndo nawaacha tena kwa lugha kali mno (mnisamehe huko mliko) ila badae nikaja kugundua kuacha sio jambo zuri ni bora uachwe. Kwa hiyo kuanzia sasa sitoacha mtu, aniache yeye.
 
Umeachwa kisha ukatuma laki 8?![emoji16][emoji16][emoji16] acha fix basi au ndugu yake Kidukulilo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakumbuka alinitumiaga picha ambayo tulikua tumepiga tuu na watu kibao ila kuna msichana alinishika bega kwene hyo picha. Hyo picha aliipostig mshkaj wang FB alaf akanitag ko manzi akaiona ndo akanitumiaga wasap.

Alivonitumiaga ile picha nikachekaga nikasema huyu manzi naye ana wivu jaman, ila kwa kilichofuatiaga nilitamani bora ningelia the moment alivonitumiaga hyo picha manake kuna ule msemo unaosemaga ole wenu mnaocheka sasa kwa sababu badae mtalia. Aliniambiaga tuu kuwa rula we cant do this anymore una wanawake wengi nilimueleweshaga kwa kila nilivyoweza but ikashindikanaga. It was not meant to be

Ilinichukua sana mda kuregain lakini after sometimes nilikubaliana na hali. Baada ya mwaka mmoja alikuja kuolewa
 
Huyo Bado hajakua kiakili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna waruu ni mashetwani, nitakujaa kuua kenge mmoja hiviiij

Don't make a promise you can't fulfill...
 
Hiyo laki 8 ulimtumia kwa minajili ipi labda Kama sio fiksi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mwezi mmoja uliopita nikiwa supermarket natafuta vizawadi kwa ajili ya birthday yake ikaingia sms ifuatayo " mambo vipi..nimekua nawaza siju zote nianze vipi lakini ngoja tu niseme. nahitaji sana ku move on na maisha yangu bila kuwa na wewe. japo nakupenda sana lakini naona kama hatuendani. hivyo ulivyo kuwa na msichana kama mimi nahisi kama unani injoi tu instead kuna mwanamke mwingine una future nae ila kwangu una ji tuit heading to Necta.
kwa bahati njema nilianza kununua tu cake kwanza. nikaenda kuiweka kwenye friji nikawa nakula polepole. but baada ya kama one week later after my long silence following her bullying text akanitumia sms 6 mfululizo but nyingi ni za ki apologize eti kuna marafiki zake walimjaza kuhusu mimi..mara alipitiwa tu..
ninachokifanya sasa ni ku prove her wrong insights about me. nilipanga kufanya nae future but due to her inferiority complex then i turned her to my sex toy.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuachwa sijawahi, huwa tunaishia kimya kimya kila mtu anafuata njia zake, tukikumbukana inakuwa heri, na panapostahili kusaidiana tunasaidiana, kuna siku nilikutana kwenye na ex wangu wa mwisho kabisa yupo na jamaa yake na anaifahaamu kabisa mimi ndio nilikuwa nnakula ile mashine demu alianza kuleta shobo mpaka jamaa yake akam mind, kesho yake kanitafuta tukapanga siku ambayo ni lazima aliwe na ikawa hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…