Kama utani vile mwalimu Paulo anaweza kuja kuwa mkuu wa shule

Kumbe waziri mkuu hatoshi ama sivyo!!?au makam nae hatoshi!!?

Kwa hiyo kwa sasa uwanja upon wazi ili Kila MTU aonyeshe uwezo wake kirais rais!!?
 
Wacha huyo Mwl Paulo awe mkuu wa shule tuone division 0 na 4 za kumwaga. Halafu si nasikia huyo Mwl Paulo Hana cheti halali Cha form 4, je ni Kweli? Kama ni kweli inawezekana vipi apate ukuu wa shule?
 
Mwalimu paulo As long as analamba kila matapishi ya Second Master wa " wa Chalize, anaweza.

Lakini Mwalimu wa chalinze baba yake anaangalia mwalimu mtoto wake apokee kijiti. Mwalimu Paulo atapenye hapo kweli?
 
Kumbe waziri mkuu hatoshi ama sivyo!!?au makam nae hatoshi!!?

Kwa hiyo kwa sasa uwanja upon wazi ili Kila MTU aonyeshe uwezo wake kirais rais!!?
Hyo ni dhana kwamba makamu au waziri mkuu hawezi!

Huko ni kugawana majukumu maana wote ni wasaidizi wa rais na wanachokifanya kina baraka zote za mkuu wa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…