Kama utani vile mwalimu Paulo anaweza kuja kuwa mkuu wa shule

Sisi darasa la vidudu na la kwanza tulitamani yule Mwalimu Mkuu wa ile shule ndogo aje kuwa Mwalimu mkuu wa shule yetu hii kubwa. Sema watamkatalia kwa sababu watasema ni Ostadh. Watataka Mwalimu mkuu asie Ostadh kwa sababu shule inafuga nguruwe.
 
Sisi darasa la vidudu na la kwanza tulitamani yule Mwalimu Mkuu wa ile shule ndogo aje kuwa Mwalimu mkuu wa shule yetu hii kubwa. Sema watamkatalia kwa sababu watasema ni Ostadh. Watataka Mwalimu mkuu asie Ostadh kwa sababu shule inafuga nguruwe.
Wafadhili wa shule hawamtaki yule labda aje apewe shule 2040 japo nayo ni ngumu kutokana na haiba yake sidhani kama atakubali kutumikia wafadhili
 

Makonda hawezi kua Magu huo ndo ukweli
 
Kwa mdomo alionao sidhani aiseee
 
Makonda wananchi walishajua ni tapeli wa kisiasa hana mvuto huo wajinga siku hizi walishapata akili suala la kukaa kimya kwenye jambo la Popole na Nchimbi na kuhusishwa na Suala la Lissu Makonda lilimvunja kisiasa na Huyu ana skendo mbaya kuhusu Magufulia alikua masaliti ukitaka kuona Makonda anachafuka ateuliwe waziri mkuu ndo utaona uchafu wake utaoimbuliwa pengeni na kujiuzuru kukatokea tena akafa kisiasa maana sio msafi kabisa utashangaa na kigogo akafufuka
 
Inawezekana kweli ukawa unafahamu vitu vingi.

Lakini kwa reply hiyo hujui chochote kuhusu mawaziri na wizara zao na jinsi wanavyoweza kukasimishwa majukumu yaliyotofauti na wizara zao..
Mimi nafanya kazi zangu za kila siku na hao mawaziri. Hicho unachokisema hakipo.
 

Ila mkubwa kigogo tunamkumbuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…