Kama utani vile mwalimu Paulo anaweza kuja kuwa mkuu wa shule

Mwalimu Paulo hafuati "syllabus" wala miongozo mingine yenye kuzingatia maadili ya ualimu. Kwa kuwa analichukia somo la hesabu basi yeye anaingilia masomo na vipindi vya wenzake na badala yake anafundisha kwa msisitizo somo la uraia ijapokuwa nalo linamshinda.
 
Na hakuna wa kumzuia mwalimu
 
Wacha huyo Mwl Paulo awe mkuu wa shule tuone division 0 na 4 za kumwaga. Halafu si nasikia huyo Mwl Paulo Hana cheti halali Cha form 4, je ni Kweli? Kama ni kweli inawezekana vipi apate ukuu wa shule?
Kwa level aliyofikia cheti hakina maana tena!
 
Je, atakuta kitabu kimebadilishwa au ndiyo yale yale?
 
Hao "wenyewe" wamemuachaje hadi kafika hapo alipofika?

Headmaster 2015 na mwalimu Paul Watakuwa na ukalibu inawezekana

Na ndyoo mwalimu wa nidha wa saa 29 October alishauliwa vya kutosha ,chukua shule utawapa wakikaa sawa ,alikataa kata kata .kwa hyo Kuna chemistry , headmaster 2015+mwalimu Paul + Mwalimu wa nidhamu wa sasa (1)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…