KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,883
- 4,676
Usicheze na MunguHuu ndio uonez wenyewe.Kizazi changu kimekosa nini wakat uzinzi nafanya kwa habar zangu binafsi? Halaf watu wakianzaga kupinga scripture kwa mambo kama haya mnaanza kuwaona sio.
Kizaz changu kinahusika vipi.
Nianze marangapi??Nawewe anza uzinzi hili upate hela kama wao
Kiaje mkuu fafanua pleaseHata ukiwa na hela, kuna mahali unaumia tu lazima na downfall ni dk sifuri tu.
Kwa sababu kuhudumia michepuko ni gharama sana, kwa sababu kugawa pesa kwa familia zaidi ya moja ni gharama. Lakini kumbuka mcheps anahitaji zaidi ya mke, huwa hajali unapitia nini zaidi ya kupata anachohitaji.Kiaje mkuu fafanua please
Hii ya kukatisha uhai wa mtu. Hatuna mamlaka lkn watu wanaforce ivoivoHivi uzinzi tu unaowapa raha wahusika wote wawili ndiyo dhambi kubwa zaidi kuliko dhambi zote ikiwemo ile ya kukatisha uhai wa binadamu mwingine?
Wenyekua nacho na wasiokua nacho wote twalisakata lumba mbususu hazina Amani hata kidogoHata ukiwa na hela, kuna mahali unaumia tu lazima na downfall ni dk sifuri tu.
Fanya uzinzi na wewe ndugu ili uwe tajiri kama hao unaowatolea mfano.Wanasema ukiwa mtu wa kutembea na kila mwanamke unajiletea mabalaa/mikosi wakimaanisha unakaribisha umaskini kwenye maisha yako, mbona kuna watu nawafahamu ni wanabadilisha wanawake kila kukicha, miaka nenda rudi, ila bado kipesa wako vizuri, na navowafahamu pesa zao si za kishirikina.
Hio stereotype imetoka wapi
Kwahiyo unataka kuwa mzinzi,iga ufe,do it at your own risk....Wanasema ukiwa mtu wa kutembea na kila mwanamke unajiletea mabalaa/mikosi wakimaanisha unakaribisha umaskini kwenye maisha yako, mbona kuna watu nawafahamu ni wanabadilisha wanawake kila kukicha, miaka nenda rudi, ila bado kipesa wako vizuri, na navowafahamu pesa zao si za kishirikina.
Hio stereotype imetoka wapi
Hamna lolote,Ina maana masikini wote ni wazinzi?Kitu chochote kikisemwa sana jua kinaukweli, jambo lolote lina kanuni ya muda kuleta matokeo hivyo hao unaowajua wanafanya uzinzi na Bado wapo vizuri kiuchumi wape muda utapata majibu baada ya kuanza kushuka kiuchumi.
Uzi ufungwe, umemaliza mkuu.Huwezi kuwa mzinzi alafu ukawa na Maisha mazuri.
Lakini unaweza ukawa na Maisha mazuri alafu ukawa mzinzi alafu baadaye ukafilisika.
Uzinzi unahitaji Pesa. Kwa kijana mtafutaji uzinzi haumfai Kwa sababu kidogo akipatacho kinatolewa macho na pisikali. Hivyo atakosa Pesa ya kuwekeza na kufanya Maendeleo.
Ukiwa na demu utahitaji kumtunza, kumlipia bills zake ikiwa ni pamoja na kulipia Kodi nyumba anayoishi.
Lakini unaweza ukawa sio mzinzi, ukapata Maisha mazuri ndipo uwe mzinzi.
Hivyo ukiona MTU amefanikiwa na hapohapo ni mzinzi basi jua ameanza uzinzi Baada ya mafanikio.
Huwezi ukatoka familia Maskini alafu ukawa mzinzi kisha uje kuwa na Maisha mazuri
Uzinifu ni dhambi, kama unafilisi, basi inategemea mhusika ananunua kwa hela gani mpaka imfilisi. Kimaadili, kuzini ni upotofu!Wanasema ukiwa mtu wa kutembea na kila mwanamke unajiletea mabalaa/mikosi wakimaanisha unakaribisha umaskini kwenye maisha yako, mbona kuna watu nawafahamu ni wanabadilisha wanawake kila kukicha, miaka nenda rudi, ila bado kipesa wako vizuri, na navowafahamu pesa zao si za kishirikina.
Hio stereotype imetoka wapi
Unatakiwa ujiulize sababu za mtu kuwa masikini ni nini? Ndo hiyo uzinzi inaweza kuwa sababu mojawapo kwa watu kadhaa na wengine wakawa na sababu zao zinazowafanya kuwa masikini, nasababu Moja wapo inayofanya watu wengi wawe masikini nikupanga matumizi kwenye mifuko ya watu wengine badala ya kufanya kazi kwa bidii na kutafuta pesa zao.Hamna lolote,Ina maana masikini wote ni wazinzi?
Kwani kaka Elli na wewe una mchepuko?[emoji1787]Kwa sababu kuhudumia michepuko ni gharama sana, kwa sababu kugawa pesa kwa familia zaidi ya moja ni gharama. Lakini kumbuka mcheps anahitaji zaidi ya mke, huwa hajali unapitia nini zaidi ya kupata anachohitaji.
Wanakuwa na watoto? Au kuwa na watoto baadaye na hao watoto hawapo affected?Mfano hai wewe tizama porn stars wanamkwanja hatari na wanaishi kwelikweli.
Wazee wa mafanikio ya kiroho sijui ulimwengu wa nafsi mkae mbali, maana utawasikia hayo ni mafanikio ya ulimwengu wa nyama tu.
Acha uwoga chakata mbususu mkuu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sina mchepuko Anne!Kwani kaka Elli na wewe una mchepuko?[emoji1787]
Hahah kweli uganga unafanya Kazi......[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] sina mchepuko Anne!
Hahaha, mkuu kweli sina mchepuko. Niliyemtaka wa hapa jf hanitaki. Kwa sasa mdogo wangu Saint Anne tunafanya mazungumzo tuome tunafanyaje [emoji1787]Hahah kweli uganga unafanya Kazi......