Kama uzinzi huleta umasikini, mbona kuna watu ni wazinzi wana maisha mazuri kiuchumi?

Kama unafanya uzinzi tayari umejiweka vizuri kiuchumi, na uzinzi wako haugusi biashara au kazi yako haina shida.

otherwise ni kweli, uzinzi unaleta umasikini ndio. Maana kama hufanyii kwako, mtoko mmoja unakula si chini ya 50. Uzinzi na ulevi unaleta umasikini.
 
Wewe kuwa mzinzi, kama kuna ongeza hela, kila mtu na mbinu zake.
 
Kama unafanya uzinzi tayari umejiweka vizuri kiuchumi, na uzinzi wako haugusi biashara au kazi yako haina shida.

otherwise ni kweli, uzinzi unaleta umasikini ndio. Maana kama hufanyii kwako, mtoko mmoja unakula si chini ya 50. Uzinzi na ulevi unaleta umasikini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…