Kama uzinzi huleta umasikini, mbona kuna watu ni wazinzi wana maisha mazuri kiuchumi?

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwakweli, tule tu uduvi tuongeze protini mwilini kuliko hiki kifaduro[emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Chaaaah
Nimecheka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti kifaduro[emoji1787][emoji174]
 
Unamaliza mbegu
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Chaaaah
Nimecheka[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Eti kifaduro[emoji1787][emoji174]
Niletee kisado cha uduvi nikugee huyu kifafa ukahangaike nacho. Maana ni pasua kichwa shetani anashangaa🙆🙆🙆🙆
 
Wewe ni mzinzi? Hebu tupe uzoefu wako.
 
mama D pitia hapa...
 
Mimi uzinzi siachi na maisha yanaendelea...hakuna raha kama kuloweka kwenye mbunye mpya
 
Unajua Kama Watanzania hasa kijana unayetoka Familiya maskini unabidi kuwa makini na Uzinzi tofauti na. Hapo utalaumu watu kuwa wana roho MBAYA . Nimemaliza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…