Kama Wanakwaya wanavaa hivi basi si ajabu Wengine kuvaa pia!

Around saa mbili na ushee asubuhi ya Leo, Nimeshuka zangu Chanika kituo kinaitwa Kwa Ngwale.

Natembea zangu mdogo mdogo naelekea eneo husika. Kwa mbali nasikia sauti za ibada hasa ulichukulia Leo ni siku ya ibada Kwa ndugu zetu Wakristo.

Mara paap nakaribia katika kanisa moja na huko ndani ibada zinaendelea, kama unavyojua macho hayana pazia, upande wa kushoto nafika usawa WA geti la Kanisa na geti lipo wazi, nashawishika kuangalia ndani ya Kanisa kwakuwa geti lipo wazi, kuna kondoo wengine wa bwana wapo ndani ya Kanisa na wengine wapo nje, huenda walikuwa wanasubiri misa ya pili.

Mara nawaona vijana wa kiume wamevaa Sare nzuri za bluu Kwa mwonekano wao ni rahisi kuwatambua kuwa hawa ni Wanakwaya, wamependeza Sana kwakweli, sasa mara upande mwingine nawaona mabinti nao wamevaa Sare za bluu vile vile, lakini jinsi zilivyoshonwa ndio zikanifanya nitahayari Kwa mwonekano wao.

Karibia wote Sare zao zimewabana na kuchora maumbile Yao ya kike, yaani hata Yule ambaye ana kalio dogo nalo limebanwa linaonekana, na hapo ndipo nilipopata mshangao.

Ni dhahir kabisa zilishonwa Kwa maelekezo maalumu, kwasababu isingekuwa hivyo basi huenda ingetookea Kwa mmoja au wawili Tu.

Je Uongozi WA Kanisa Una bariki hivi?

Je kiongozi wa kwaya anabariki hivi?

Je waumini wanaridhika na hili?

Unapata jawabu moja Tu,kuwa Hilo Jambo linachukuliwa kawaida na ndio maana hata waumini wanaenda na vimini makanisani!

Ni hayo Tu!
Vazi si dhambi, ukiona picha za miaka ya 1920 utasema watu wote waafrika wslikuwa na dhambi na hao watindiga utasema hawataenda peponi.
 
Una uwakika mkuu kuwa kuvaa ovyo si dhambi?

Hao watindiga na wengine ambao walivaa hivyo kabla ya kupata elimu ni Sawa,lkn kama wamepata mafunzo ya kiroho na wakaendelea kuvaa hivyo ni makosa
 
Mkuu nitake radhi tafadhali

Huyu dada naona anachanganya madesa, Kwanza anajibu komenti ambazo hata hazihusiani na Uzi huu

Huyo katika jukwaa la MMU anatafuta mume sasa amekuwa akiulizwa kuhusu picha yake,na ndio maana ktk Uzi huu unamkuta anachanganya mambo

Kwa mfano Mimi nimejibu madam Mamndenyi ktk comment yake moja kuwa napenda kuishi uraiani Ila huyo Zanzibar2014 akajibu kuwa yeye anaiishi huku huku kitu Kama Hicho,kwahiyo huyo mdada naona hayupo Sawa huenda kutokana na stress
Mimi sina stress isipokuwa sijui kuitumia vizuri hili jukwaa kuwa ni mgeni, kwa hiyo nachanganya, najifuza. Na radhi wa kuomba ni mimi kwa kuchanganya mada, nisamehe.
 
Nahisi hawa jamaa [emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah! Wanakuaga na style moja tu " GWAJI BOY " ya maaskofu wana ona kama ukiwakunja wanaumia[emoji16][emoji16] ina bidi kule kwenye bible study wafundishwe na KAMASUTRA kama wenzao wa zamani kuna style ambazo hata ss ambao sio walokole hatuziweziView attachment 2417196
😳🙄
 
Kwa kawaida mwanamke hapaswi kukanyaga madhabahuni, hiyo ni kwa mujibu wa maandiko matatatifu.
 
Bila shaka ni pale karibu na DCB au crdb KKKT.
Sasa dunia imeingia kanisani au kanisa limeingia duniani?
 
Around saa mbili na ushee asubuhi ya Leo, Nimeshuka zangu Chanika kituo kinaitwa Kwa Ngwale.

Natembea zangu mdogo mdogo naelekea eneo husika. Kwa mbali nasikia sauti za ibada hasa ulichukulia Leo ni siku ya ibada Kwa ndugu zetu Wakristo.

Mara paap nakaribia katika kanisa moja na huko ndani ibada zinaendelea, kama unavyojua macho hayana pazia, upande wa kushoto nafika usawa WA geti la Kanisa na geti lipo wazi, nashawishika kuangalia ndani ya Kanisa kwakuwa geti lipo wazi, kuna kondoo wengine wa bwana wapo ndani ya Kanisa na wengine wapo nje, huenda walikuwa wanasubiri misa ya pili.

Mara nawaona vijana wa kiume wamevaa Sare nzuri za bluu Kwa mwonekano wao ni rahisi kuwatambua kuwa hawa ni Wanakwaya, wamependeza Sana kwakweli, sasa mara upande mwingine nawaona mabinti nao wamevaa Sare za bluu vile vile, lakini jinsi zilivyoshonwa ndio zikanifanya nitahayari Kwa mwonekano wao.

Karibia wote Sare zao zimewabana na kuchora maumbile Yao ya kike, yaani hata Yule ambaye ana kalio dogo nalo limebanwa linaonekana, na hapo ndipo nilipopata mshangao.

Ni dhahir kabisa zilishonwa Kwa maelekezo maalumu, kwasababu isingekuwa hivyo basi huenda ingetookea Kwa mmoja au wawili Tu.

Je Uongozi WA Kanisa Una bariki hivi?

Je kiongozi wa kwaya anabariki hivi?

Je waumini wanaridhika na hili?

Unapata jawabu moja Tu,kuwa Hilo Jambo linachukuliwa kawaida na ndio maana hata waumini wanaenda na vimini makanisani!

Ni hayo Tu!
Picha vipi
 
Kwa Imani yako...,

Adam na Hawa au Adam na Eva walikuwa wamevaa ?

Huenda hio Kwaya ndio inavuta waumini.., sasa ni kazi ya huyo mchungaji kuwa-convince kwa nguvu ya hoja sio hoja ya nguvu kuendana na Katiba yenu
 
Back
Top Bottom