Zanzibar2014
JF-Expert Member
- Nov 13, 2022
- 743
- 591
Sijakufahamu hapa kabisa, niweke sawa.Inaonekana umejichanganya mahali! Account uliyo jadili swala na account uliyo reply ni tofauti kwenye ishu moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijakufahamu hapa kabisa, niweke sawa.Inaonekana umejichanganya mahali! Account uliyo jadili swala na account uliyo reply ni tofauti kwenye ishu moja
16 Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu?Haya madhehebu kama nilivyosema ni vichaka vya Shetani,kwa hiyo huwezi kumuabudu Mungu wa kweli hapo,people need to get out as the Bible says in 2Kor.6:14-18,it's a waste of time.
2 Wakorintho 6:14-18
14 Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza?
15 Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini?
16 Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.
17 Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.
18 Nitakuwa Baba kwenu, Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike,
Kumbeee?
Sio kweli na sio sawa kusema uwongoKumbeee?
Mkuu mpaka tutakapo amua kubadilika Kwa dhati na kufuata njia sahihi ndio uzima wa milele tutaona vinginevyo tuwe tayar kusaga menoKatika michezo yote hii michafu ya kuwadanganya Wanadamu,Mungu ameahidi adhabu kwa kuwatupa kwenye ziwa la kiberiti liwakalo Moto ambapo watateswa humo milele mchana na usiku. Biblia inauita mfumo huo wa upapa Mnyama atokaye Baharini na Babeli pamoja na Mama wa Makahaba,Makahaba yakiwa Madhehebu.Soma sura za 14,16,17,18 na 19 uone uovu huu dhidi ya Wanadamu na adhabu Mungu atakayo unleash kwa uovu wao.Kitabu cha Daniel sura za 7 na 12 pia zinaeleza hali hiyo.
Mkuu niseme hivi,kwa mtu anaye elewa haya mambo,ni wazi yanayoitwa madhehebu ni agents was Shetani kabisa,Ni upagani mtupu.Kwa mtu mwenye nia ya dhati ya kuurithi Ufalme wa Mungu,ni lazima kujitenga na mifumo hiyo.Inauma sana frankly.
Sasa mkuu unakwenda kufanya nini?Amua sasa kwamba you seriously want to save God.Don't waste your time.Wana balaa sana! Mm hua naenda ku socialize tu maana hua siwezi kuwasikiliza wala kuwaelewa nabaki na ninayo ya amini rohoni kwangu tu
Hapana mkuu,do not loose hope,kwa kuwa umeshaujua ukweli,chukua hatua,inawezekana kabisa kuurithi Ufalme wa milele na ndio maana Mungu ameamua kuufunua ukweli huo.Mkuu mpaka tutakapo amua kubadilika Kwa dhati na kufuata njia sahihi ndio uzima wa milele tutaona vinginevyo tuwe tayar kusaga meno
"Imani yako itakuponya" ndicho kinacho niongoza ila c kwenda kusikiliza au kumuelewa mtu ambae anafanya yooote anayo kuhimiza usifanye! WEWE UNAWEZA!!? Kikubwa ni kujumuika tu, mengine yabaki kichwani kwako na rohoni kwakoSasa mkuu unakwenda kufanya nini?Amua sasa kwamba you seriously want to save God.Don't waste your time.
Read this,2Kor.6:
16-17," Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu.
17 Kwa hiyo, Tokeni kati yao, Mkatengwe nao, asema Bwana, Msiguse kitu kilicho kichafu, Nami nitawakaribisha.
18 Nitakuwa Baba kwenu, Nanyi mtakuwa kwangu wanangu wa kiume na wa kike."
Picha iko kwenye avatar yangu, ahsante saanahuuzi tangu umeanza mesubiria picha adi sasa sijaonaa
Unaamini nini ndilo jambo la msingi mkuu.Imani yeyote ambayo haina msingi wa Neno la Mungu ni batili,na inakufanya uwe legitimate target ya Shetani.Sio kila Imani ni sahihi.Ni lazima tumuabudu Mungu katika "Roho na Kweli.""Imani yako itakuponya" ndicho kinacho niongoza ila c kwenda kusikiliza au kumuelewa mtu ambae anafanya yooote anayo kuhimiza usifanye! WEWE UNAWEZA!!? Kikubwa ni kujumuika tu, mengine yabaki kichwani kwako na rohoni kwako
Namuabudu roho na kweli! Kupitia akilini mwangu na rohoni mwangu ila si kwa kuwasikiliza wauza keki, wapaka mafuta, wa languaji, wazinzi na waasherati ambao wana tuhimiza tusifanye wanayoyafanya gizaniUnaamini nini ndilo jambo la msingi mkuu.Imani yeyote ambayo haina msingi wa Neno la Mungu ni batili,na inakufanya uwe legitimate target ya Shetani.Sio kila Imani ni sahihi.Ni lazima tumuabudu Mungu katika "Roho na Kweli."
Tizama Avatar yangu, ahsante saaanaUngeweka picha ingependeza zaidi.
Nita Comment ukiweka picha!!Around saa mbili na ushee asubuhi ya Leo ,nimeshuka zangu Chanika kituo kinaitwa Kwa Ngwale.
Natembea zangu mdogo mdogo naelekea eneo husika,Kwa mbali nasikia sauti za ibada hasa ulichukulia Leo ni siku ya ibada Kwa ndugu zetu Wakristo.
Mara paap nakaribia katika kanisa moja na huko ndani ibada zinaendelea, kama unavyojua macho hayana pazia, upande wa kushoto nafika usawa WA geti la Kanisa na geti lipo wazi,nashawishika kuangalia ndani ya Kanisa kwakuwa geti lipo wazi,kuna kondoo wengine WA bwana wapo ndani ya Kanisa na wengine wapo nje,huenda walikuwa wanasubir misa ya pili.
Mara nawaona vijana wa kiume wamevaa Sare nzuri za bluu Kwa mwonekano wao ni rahisi kuwatambua kuwa hawa ni Wanakwaya ,wamependeza Sana kwakweli,sasa mara upande mwingine nawaona mabinti nao wamevaa Sare za bluu vile vile,lakini jinsi zilivyoshonwa ndio zikanifanya nitahayari Kwa mwonekano wao.
Karibia wote Sare zao zimewabana na kuchora maumbile Yao ya kike,yaani hata Yule ambaye ana kalio dogo nalo limebanwa linaonekana,na hapo ndipo nilipopata mshangao.
Ni dhahir kabisa zilishonwa Kwa maelekezo maalumu,kwasababu isingekuwa hivyo basi huenda ingetookea Kwa mmoja au wawili Tu.
Je Uongozi WA Kanisa Una bariki hivi?
Je kiongozi wa kwaya anabariki hivi?
Je waumini wanaridhika na hili?
Unapata jawabu moja Tu,kuwa Hilo Jambo linachukuliwa kawaida na ndio maana hata waumini wanaenda na vimini makanisani!
Ni hayo Tu!
Dini biashara, tokea mkusanye sadaka miaka na miaka hazijatoshaDini siyo biashara.
Bali Dini ni utoaji wa huduma ya KIROHO unaoambatana na uchangiaji wa huduma hiyo kwa kuzingatia uwezo wa waumini.
Ndio maana utaona KIJIJINI ndani huko, DINI inatoa huduma lakini uchangiaji ni mdogo sana kuliko gharama ya huduma inayotolewa( Ingekuwa dini ni biashara, basi makanisa hayo yangefungwa( Kwasababu, lengo la biashara ni kutengeneza FAIDA na siyo vinginevyo)).
Iko kwenye avatar yangu, ahsante saana.Nita Comment ukiweka picha!!
Pole mkuuSiyo wanakwaya tu, hata waumini.
Kuna wakati ibada yangu ilitekwa nyara na binti aiyebana makalio na alikaa mbele yangu.
Yaani mwili wote ulikuwa unasisimka kila tukisimama na kuimba mapambio!
Usijali, tutawafamu tu muda sio mrefu.Pole mkuu
Nimefungua huu uzi ili nione picha tu