Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 17,251
- 22,929
Katika michezo yote hii michafu ya kuwadanganya Wanadamu,Mungu ameahidi adhabu kwa kuwatupa kwenye ziwa la kiberiti liwakalo Moto ambapo watateswa humo milele mchana na usiku. Biblia inauita mfumo huo wa upapa Mnyama atokaye Baharini na Babeli pamoja na Mama wa Makahaba,Makahaba yakiwa Madhehebu.Soma sura za 14,16,17,18 na 19 uone uovu huu dhidi ya Wanadamu na adhabu Mungu atakayo unleash kwa uovu wao.Kitabu cha Daniel sura za 7 na 12 pia zinaeleza hali hiyo.Mkuu nimeona video kwakweli papa ameongea mambo makubwa Sana na kawatahadhalisha mwisho wao utakuwa mbaya
Na akawapa ukweli wanamwabudu bikira maria ambaye amekufa
Nawaomba jamani muangalie wenyewe hii video
Mkuu asante sana
Mkuu niseme hivi,kwa mtu anaye elewa haya mambo,ni wazi yanayoitwa madhehebu ni agents wa Shetani kabisa,ni upagani mtupu.Kwa mtu mwenye nia ya dhati ya kuurithi Ufalme wa Mungu,ni lazima kujitenga na mifumo hiyo.Inauma sana frankly.