Kama Wanakwaya wanavaa hivi basi si ajabu Wengine kuvaa pia!

Kama Wanakwaya wanavaa hivi basi si ajabu Wengine kuvaa pia!

Sheria ipi hiyo? Je tukisema wewe una chuki za kidini tutakuwa tunadanganya?
kwenye sheria ya madhara "Law of Torts" kuna kitu tunakiita trespass kwa wenzetu mfano uk inaenda mbali sana mpka "intrusion of privacy" kama moja ya trespass. Kwa tz sina material case per se ila nina mfano mzur recently wa prince William na mke wake walipigwa picha bila ridhaa yao na gazet moja la ufaransa na wakachapisha hzo picha. Gazeti lilishtakiwa na kuamriwa kulipa fine ikiwa na ku issue apology kwa familia ya kifalme. Hizi material case unaweza zitumia hapa kuenforce claim yako. Intrusion of privacy ni kosa kisheria na lina treatment ya mahakama.
 
Wife aliniambiaga anataka kuanza kuimba kwaya, nikamwambia siku nikikuona umeenda kwenye kwaya ndio itakuwa tiketi ya kurudi kwenu. Sikawahi msikia tena. Kwenye kwaya wake zetu wanagegedwa sana.
Mwache mwenzio amwimbie Mungu
 
kwenye sheria ya madhara "Law of Torts" kuna kitu tunakiita trespass kwa wenzetu mfano uk inaenda mbali sana mpka "intrusion of privacy" kama moja ya trespass. Kwa tz sina material case per se ila nina mfano mzur recently wa prince William na mke wake walipigwa picha bila ridhaa yao na gazet moja la ufaransa na wakachapisha hzo picha. Gazeti lilishtakiwa na kuamriwa kulipa fine ikiwa na ku issue apology kwa familia ya kifalme. Hizi material case unaweza zitumia hapa kuenforce claim yako. Intrusion of privacy ni kosa kisheria na lina treatment ya mahakama.
Picha ya kwaya?
Mkizipiga timu picha mnapata wapi ridhaa hiyo?
 
Siyo kwenye public perfomance.

Mtu yupo kanisani anaimba kwaya halafu unasema hayo. Hainankosa hapo
iwe public au chumbani ni kosa kisheria endapo tu kama huyu ajakuruhusu au ajatoa ridhaa ya kumpiga picha full stop.
 
Ni kwasababu wanaume wenyewe hamna wengi wamekuwa dolo sana
Sasa sii ndio maana tumepanda bei nyie leteni mzaa tuu mtashangaa wenyewe na roho zenu.

Na hivi wenye dunia yao wanasema tuwakubali hao wanaume dolo ndio bei zetu vidume zitazidi kupanda
 
Madam ni kosa kisheria kumpiga mtu picha au kutumia picha ya mtu bila ruksa yake

hivi akimpiga mtu picha alafu akisema kazalilishwa huyo aliyepigwa picha wewe utaenda kumtolia zaman na kumlipia faini ETUGRUL BEY
Asante Kwa kuzidi kuwaelimisha Wana kondoo wq bwana

Kwa hekima yangu sikutaka hata kutaja Jina la Kanisa,Ila ni haya makubwa ambayo yapo duniani kote
 
Sasa sii ndio maana tumepanda bei nyie leteni mzaa tuu mtashangaa wenyewe na roho zenu.

Na hivi wenye dunia yao wanasema tuwakubali hao wanaume dolo ndio bei zetu vidume zitazidi kupanda
Haya umeshinda pambaneni sana msiwe dolo, ili msisaidiwe na vijana wadogo
 
Asante Kwa kuzidi kuwaelimisha Wana kondoo wq bwana

Kwa hekima yangu sikutaka hata kutaja Jina la Kanisa,Ila ni haya makubwa ambayo yapo duniani kote
Mkuu nchi ina shida sana hii inabidi uishi na raia wanavyotaka wao na wewe uwapeleke hivyo hivyo
 
Haya umeshinda pambaneni sana msiwe dolo, ili msisaidiwe na vijana wadogo
Sharing is caring...hamna mbususu yako weye pekee vijana wakitusaidia sawa cha msingi mie wakati wangu ukifika na mie napata asali. Haina makombo
 
Sharing is caring...hamna mbususu yako weye pekee vijana wakitusaidia sawa cha msingi mie wakati wangu ukifika na mie napata asali. Haina makombo
Haaaa haaaa [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mkuu usishangae,miaka mingi tumepigwa upofu!Kumbe haya makanisa ni vichaka vya Shetani,wala hajawahi kuyaachia baada ya kujitenga na Catholicsism.Papa mwenyewe amesema madhehebu hayo ni makahaba,Kanisa la Roma lenyewe likiwa ndilo Mama wa Makahaba hayo!The so called Churches,kumbe kujitenga na Catholicsism haikuwa lolote,but was a tactical move by Satan kuwadanganya watu ili kuendeleza the Pagan Worship practised by the Catholic Church.So usishangae mkuu,it is part of the game.

Pope Francis himself has revealed it all,watch this👇.Ila usifurahi kama wewe ni Muislam,you are not safe either.Infact hali ya Islam is even worse.

Mkuu nimeona video kwakweli papa ameongea mambo makubwa Sana na kawatahadhalisha mwisho wao utakuwa mbaya

Na akawapa ukweli wanamwabudu bikira maria ambaye amekufa

Nawaomba jamani muangalie wenyewe hii video

Mkuu asante sana
 
Siku hizi dini zimekuwa kama biashara, zimegeuka kitega uchumi na ndio maana WACHUNGAJI wanashindwa kukemea vitu kama hivyo wakijua kwamba watawafukuza wateja wao wakikemea[emoji25]
Point mkuu
Yaani umemaliza kabisa
 
Back
Top Bottom