Kama Wanakwaya wanavaa hivi basi si ajabu Wengine kuvaa pia!

Vazi si dhambi, ukiona picha za miaka ya 1920 utasema watu wote waafrika wslikuwa na dhambi na hao watindiga utasema hawataenda peponi.
 
Vazi si dhambi, ukiona picha za miaka ya 1920 utasema watu wote waafrika wslikuwa na dhambi na hao watindiga utasema hawataenda peponi.
Una uwakika mkuu kuwa kuvaa ovyo si dhambi?

Hao watindiga na wengine ambao walivaa hivyo kabla ya kupata elimu ni Sawa,lkn kama wamepata mafunzo ya kiroho na wakaendelea kuvaa hivyo ni makosa
 
Mimi sina stress isipokuwa sijui kuitumia vizuri hili jukwaa kuwa ni mgeni, kwa hiyo nachanganya, najifuza. Na radhi wa kuomba ni mimi kwa kuchanganya mada, nisamehe.
 
😳🙄
 
Kwa kawaida mwanamke hapaswi kukanyaga madhabahuni, hiyo ni kwa mujibu wa maandiko matatatifu.
 
Bila shaka ni pale karibu na DCB au crdb KKKT.
Sasa dunia imeingia kanisani au kanisa limeingia duniani?
 
Walimu wa kwaya
Wenyeviti wa kwaya
Makatibu wa kwaya
Mnachowafanyia wanakwaya Mungu anawaona
 
Picha vipi
 
Kwa Imani yako...,

Adam na Hawa au Adam na Eva walikuwa wamevaa ?

Huenda hio Kwaya ndio inavuta waumini.., sasa ni kazi ya huyo mchungaji kuwa-convince kwa nguvu ya hoja sio hoja ya nguvu kuendana na Katiba yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…