Kama Warundi leo ndio wamekamilisha uchunguzi wa mauaji ya Mfalme wao wa mwisho, Iko siku pia watanzania watamjua mbaya wao!

Kama Warundi leo ndio wamekamilisha uchunguzi wa mauaji ya Mfalme wao wa mwisho, Iko siku pia watanzania watamjua mbaya wao!

Hamumuoni Makonda anavyohangaika? Mikono yake ina Damu za watu! Kikwete pia hana Amani kwani damu ya maandishi wa habari Mwangosi iko mikononi mwake kwa kuwaamuru polisi wamshambulie.
Haya ndiyo maisha yake sasa


Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Acheni ujinga nyie wanafiki. Nani amuue yule jamaa. Yule alikufa kwa dhambi zake huwezi kumwaga damu ya binadamu ukaishi salama. Kafuatilie kifo cha Abacha kilikuaje baada ya kuua watu wengi.
Mbona kikwete enzi zake watu waliuawa wengi tu lakini bado yupo?watu hamuwezi kufikiri vizuri
 
Back
Top Bottom