Kama watoto ni Malaika kwa nini wana roho mbaya na tabia chafu

Watoto wanazaliwa wakiwa na minds pure, hii hupelekea kuona vitu vya ulimwengu wa kiroho pasipo sisi kuviona. Kadri wanakuwa minds zao zinaanza kudaka yale yanayofanywa na watu wanaowazunguka hasa wazazi. Hapa ndipo hutegemea sasa, wanarekodi mabaya au mazuri toka kwa hao wanaowazunguka?
Kutokana na bongo zao zimerekodi mambo machache compare to matured ones hufikia muda akili zao zinare-load yale waliyokuwa wanayasikia.
Kwakuhitimisha jamii imzungukayo mtoto ndio huamua mtoto huyo awe wa aina gani.
 
Biblia inasema,mlee mtoto katika njia impasayo,naye hatoiacha ata ajapokuwa mtu mzima,

Kumbe jamii na wazazi tunajukumu la kumlea/kumpandikizia mtoto Yale mema yatakiwayo,
Tusipowapandikiza mema,shetani uja na kupanda vitu/tabia ovu mioyoni mwao.
 
Mlee vema na kumuombea ili Mungu amtunze na kuzidi kumpa moyo huo halisi wa Mungu mwenyewe
 
Uzi umeishia hapa no addition [emoji122] [emoji122]
 


Watoto wadogo kweli hawana dhambi na mfano wake. Ila kiwaita malaika ni uongo na ni uchache wa elimu juu ya viumbe wa Mola mlezi.
 
kusemwa yeye ni malaika si ukweli wa uhalisia lkn ni tafsiri kwani mtoto anakuwa hajua hili wala lile hata hivyo mtoto wa nyoka ni nyoka


Unaweza kutuorodheshea japo sifa mbili za malaika au tabia mbili za malaika ? Ili tufaidike ?
 

Jitahidi sana katika maisha yako usikuzie mtoto uswahilini.
 
Tungo za kuwapo kwa malaika, ni characters katika hadithi ya kubuni tu.

Hawapo kiukweli.


Kaka kwako wewe naona kitu kimoja kati ya vitatu au zaidi.

1. Una matatizo ya akili

2. Mjinga sanaaaaa !

3. Umekariri mawazo ya watu bila kumakinika kwayo.
 
Ulidanganywa sana na ulipewa chai...mtoto sio malaika
 
Kaka kwako wewe naona kitu kimoja kati ya vitatu au zaidi.

1. Una matatizo ya akili

2. Mjinga sanaaaaa !

3. Umekariri mawazo ya watu bila kumakinika kwayo.
Yote matatu hayo, hata kama ni kweli yote kwa pamoja au moja tu kati ya hayo, itakuwa ni uthibitisho zaidi kwamba Mungu muweza yote, mjuzi wa yote na mwenye upendo wote hayupo.

Angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao lolote kati ya hayo matatu yanawezekana.
 
Hujanijua vizuri bado.

Sio tu siamini, sitaki kuamini, nataka kujua.

Tafadhali usinishushe ngazi na kunipeleka kituo kisicho changu.


Kaka kauli zako huwa zinaenda kinyume sana na unachotenda. Mtu anayetaka kujua hana sifa kama zako,na ndio maana hujui mambo mengi sana.

Mola amekupa akili aisee,itumie vizuri ikufae.
 


Nakuuliza swali dogo. Ukiwa unakula huwa una tumia mkono gani ?
 
Nakuuliza swali dogo. Ukiwa unakula huwa una tumia mkono gani ?
Swali lako linaonesha ufinyu wa mawazo yako na utovu wa maarifa ya tamaduni.

Unafikiri kwa sababu kijijini kwenu watu wanakula kwa mkono fulani, basi watu wote wanakula kwa mkono fulani tu.
 
Kaka kauli zako huwa zinaenda kinyume sana na unachotenda. Mtu anayetaka kujua hana sifa kama zako,na ndio maana hujui mambo mengi sana.

Mola amekupa akili aisee,itumie vizuri ikufae.
Thibitisha Mola yupo.

Nataka kujua hilo. Usihubiri. Usiniambie habari za imani. Thibitisha yupo.
 
Swali lako linaonesha ufinyu wa mawazo yako na utovu wa maarifa ya tamaduni.

Unafikiri kwa sababu kijijini kwenu watu wanakula kwa mkono fulani, basi watu wote wanakula kwa mkono fulani tu.


Kaka acha kuwa na wasi wasi na kuwa na dhana,unapoulizwa swali jibu swali sio unaleta dibaji.

Kama utakuwa una kumbukumbu nilishawahi kukwambia hivi " Kutokana na mtiririko wako wa ujengaji hoja na mitazamo yako,huwa najua kifuatacho utasema nini,japokuwa sio neno kwa neno bali hata kwa maana huwa sikukosi". Sasa inabidi ujitathmini mara mbili mbili mzee.

Sio kwamba nina uwezo wa kujua yajayo la ! la ! bali fikra zako nyepesi kiasi hicho. Mfano wako wewe ni mfano wa mtoto mdogo ambaye nikimpa shilingi 50 ya kitanzania,najua ataenda kununua nini,kabla hajaenda kununua.

Kaka ukiukizwa swali jifunze kujibu swali. Nakuuliza tena "WEWE UKILA HUWA UNATUMIA MKONO GANI ?"
 
Kwa nini unafikiri natumia mkono maalum kula?
 
Thibitisha Mola yupo.

Nataka kujua hilo. Usihubiri. Usiniambie habari za imani. Thibitisha yupo.


Hujawahi kutaka kujua hilo. Siku ukitaka kujua kama tukiwa hai,nitajua tu na nitakuwa nakukumbusha wapi niliwahi kukuthibitishia uwepo wa Mola,hata kama si neno kwa neno hata kwa maana ya ujumla.

Turudi kwenye mada husika. Nilikuuliza swali kama unakataa malaika sio malaika,basi malaika ni nani hasa au kina nani hasa ?
 
Thibitisha Mola yupo kabla ya yote.

Kama huwezi kuthibitisha Mola yupo, na Mola ndiye kaumba mpaka malaika, basi hujakanusha kwamba malaika ni hadithi tu na hawapo.
 
Kwa nini unafikiri natumia mkono maalum kula?


Tatizo muoga sana kaka,jibu swali. Ukiwa unakula huwa unatumia mkono gani ? Kama unatumia yote wewe jibu. Ila si unajua hata Birika pia lina mkono ila sio kama mkono wako ? Tafakari kidogo juu ya kauli yangu utahisi au utaona ishara japo kwa mbali kwanini nimekuuliza swali hili dogo.

Nataka nikufundishe jinsi ya kufikiri vile unavyooaswa ufikiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…