Kama waziri kuonana na Rais ni changamoto hivi, kuna shida mahali

Mzee wa Kichagga amechoka ameamua kuongoea ukweli atumbuliwe akapumzike zake
 
Kwani kwenye Baraza la Mawaziri huwa hashiriki huyo waziri. Ok Mwambie anipigie
 
Kwani kwenye Baraza la Mawaziri huwa hashiriki huyo waziri. Ok Mwambie anipigie
Unajua maana ya agenda?? Na agenda inaingiaje kwenye kikao.na Mkutano ukiisha nani anatangulia kutoka, au watu wanakuwa na Raisi, ili wewe waziri umpite Makamu wa Raisi, umpite Waziri Mkuu, upate nafasi ya kuongea na Raisi , na agenda za siku zikiisha Raisi Tayari ana mipango mingine.
 
Angekuwa mwijaku au Steve nyerere mondi faster ananana naye mambo yenyewe ya kipuzz
Mambo ya msingi yanabaniwaaa
F country kbsaaa

Ova
 
Pof dakika za jioniiii kaamua amwage ugali ajiondokee zake.
 
mara nyingi ni mafia na huwafanyia umafia wengine ndo maana waoga na wanajilinda hivyo, mara nyingi criminal huwa muoga sana …
 
Labda Mh alikuwa na dharura sidhani kama Wasaidizi watakurupuka tu,sasa kuja kusema hadharani ndio nini.Ila hawa Viongozi wetu wananishsngaza sana juzi eti Spika nae alikuwa anawalalamikia tcra.
kusema ni kumshtaki Rais kwa mabosi wake (wananchi)
 
Hana namba ya Abdul ?!
Kama hana atengeneze ukaribu mzuri na mr mapete.
 
Nimecheka
 
Vivyo hivyo kwa Common mwananchi kumuona huyo waziri anayelalama ni nenda rudi za kutosha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…