Kama waziri kuonana na Rais ni changamoto hivi, kuna shida mahali

Kama waziri kuonana na Rais ni changamoto hivi, kuna shida mahali

Msikilize, Prof Mkenda akilalamika mbele ya Rais kwa kunyimwa nafasi ya kuonana na Rais.

Au labda ni kuhimarisha ulinzi wa Rais?

Wanajukwaa mna maoni gani kuhusu hili.

View attachment 3222324
Huyo mjalana samia bushiri ana ishi kwa hofu kuu sana ...na kama akibaki kitini 2025 damu nyingi itamwagika kutokana na hofu ya udhalimu wake anaofanya na lile genge lake la kihuni.
 
Beaurocracy at its peak
Nadhani ni uzwazwa tu wa wasaidizi wa rais kushabikia upuuzi na kusahau mambo ya muhimu. Ingelikuwa ni bureaucracy hata Salum na Steve. Nyerere wangekumbana nayo.
 
Samia anakaribiana na watu wasiozidi watano.tu 🤣🤣🤣 haamini mtu
Mnyonge mnyongeni haki yake mumpe. Naona hapa tatizo sio Rais bali wasaidizi wake, la sivyo asingetoa siku nzima kumsikiliza Mkenda na team yake.
 
Hii haijakaa vizuri kwa kweli Waziri ni mtu muhimu sana anazuiwaje kumwona boss wake kama kweli wanajenga taifa moja?
 
Back
Top Bottom