Kama wewe mrefu na una demu mmoja tafakari

Shinnok

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2019
Posts
236
Reaction score
564
Hakuna mtu mrefu anakataliwa na mademu labda uwe mchafu yani hujipendi la sivyo jihakikishie mademu wanakupenda ukiona wanakukataa hao mademu sitaki nataka yani wanakupima tu ila uwezo wa kukukataa hawana.

Wanaume wanaokataliwa na mademu ni vijeba yani wafupi na ukiona mfupi kakubaliwa uyo labda anahela.
 
Hahaha kuna kaukweli...ila demu ujiandae maana wanakuwa na de libolo refuu
 
Aisee leo umenifungua ufahami kidogo mie ni mrefu ila demu wangu ni mfupi ndio niwapendao ila cha ajabu kwanza marafiki karibia wote wa demu wangu wanajilengesha wanipe mbususu lakini hata kitaa hakuna demu amewahi kunitakaa tena wake za watu ndio naburuza kweli kweli
 
Unatuchafulia cv mkuu.
Unataka jamii ituone sisi vicheche?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] najivunia kuwa mrefu sifa ya warefu hatulazimishi kutongoza kwa kuforce siyo vinganganizi wastaarabu ila watundu wa mapenzi
Ukiwa na demu mmoja ww mrefu uuwawe tu
Wacha kujidanganya, uwezo wa mambo yote uliyotaja hayahusiani na mtu kuwa mrefu.
 
Hapa nimejua kwanini yule dogo ananikubali, ila niko kwenye mchakato wa kumuacha 🀣🀣🀣🀣
 
Ila wanaume warefu wana mvuto bhana
Ukute yule mrefu asiye na kitambi kanyooka fulani hivi πŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ

Unahitaji kuwa na moyo mgumu kukataa kiumbe cha namna hii aseee
Anhaaa....
 
nmepata jibu nilipokuwa chuo tulikuwa Marqfiki watatu Mm ndio mfupi kuliko wengine ila kwenye height nilikuwa na 5’7 ambayo above average

Nilikuwa Least go to, Japo ndio nilikuwa The smart one, nkawa nahis kwavile jamaa alikuwa ana gari plus anacheza mpira na mwingine alikuwa Fun kwahiyo madem wakawa wanawakubali zaid

kumbe sabab ilikuwa urefu [emoji46]
 
Acha maneno mengi.... tafuta hela uone kama wachuchu watahagaika na kimo chako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…