Kama wewe mrefu na una demu mmoja tafakari

Kama wewe mrefu na una demu mmoja tafakari

Mkuu Mimi ni mrefu Tena sana,kiasi kwamba nikiwa kwenye sehemu zinazojumuisha watu wengi

Misiba,sherehe n.k naonaga noma najikuta Kama naonekana Mimi tu

Hebu kesho ijumaa,tafuta location Kama upo dar, Kisha ni PM
Mkuu mimi nimesema mrefu

Sijasema mrefu sana,sana huwa inaboa
 
Hakuna mtu mrefu anakataliwa na mademu labda uwe mchafu yani hujipendi la sivyo jihakikishie mademu wanakupenda ukiona wanakukataa hao mademu sitaki nataka yani wanakupima tu ila uwezo wa kukukataa hawana.

Wanaume wanaokataliwa na mademu ni vijeba yani wafupi na ukiona mfupi kakubaliwa uyo labda anahela.
Diamond Platnumz, Ali Kiba
 
Back
Top Bottom