Kama wewe mrefu na una demu mmoja tafakari

Kama wewe mrefu na una demu mmoja tafakari

nmepata jibu nilipokuwa chuo tulikuwa Marqfiki watatu Mm ndio mfupi kuliko wengine ila kwenye height nilikuwa na 5’7 ambayo above average

Nilikuwa Least go to, chaguo la Mwisho katika group Japo ndio nilikuwa The smart one, nkawa nahis kwavile jamaa alikuwa ana gari plus anacheza mpira na mwingine alikuwa Fun kwahiyo madem wakawa wanawakubali zaid

kumbe sabab ilikuwa urefu [emoji46]
Ushasema chuo,mlikuwa watoto .. huku duniani hatuchagui urefu,Kuna vigezo vyetu we naona umetaja kimoja unacho Sasa ongezea Cha pili, tafuta hela uone wewe Ndio utakuwa first priority.
 
Aisee leo umenifungua ufahami kidogo mie ni mrefu ila demu wangu ni mfupi ndio niwapendao ila cha ajabu kwanza marafiki karibia wote wa demu wangu wanajilengesha wanipe mbususu lakini hata kitaa hakuna demu amewahi kunitakaa tena wake za watu ndio naburuza kweli kweli
Jiandae kuliwa kisamvu hapo kwenye wake za watu
 
Back
Top Bottom