Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,842
- 16,058
Jeiefu kila mwanume n mref, mweusi na hana kitambi na anazo pesa mingi [emoji4]
[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jeiefu kila mwanume n mref, mweusi na hana kitambi na anazo pesa mingi [emoji4]
Ila wanaume warefu wana mvuto bhana
Ukute yule mrefu asiye na kitambi kanyooka fulani hivi [emoji2296][emoji2296]
Unahitaji kuwa na moyo mgumu kukataa kiumbe cha namna hii aseee
Ndg yangu wew wapekee wengi wanataka churaWanawake wafupi weusi wembamba mna nafasi yenu kwangu.
Ndg yangu wew wapekee wengi wanataka chura
Mfano tackle sio kigezo kwang ila sasa Mwanamke akiwa ana sifa nyingine halafu hana chura subconsciously kichwa kinasema “hana tako mbona huyo”
nabak we acha hiyo sio main priority kwahiyo nna conflict na conscious yang kama naeleweka sijui
[emoji23][emoji23] mkuu nimekuelewa sana ila mimi nikiona msichana mfupi flan mweusi mwembamba nywele asilia nadata aisee nipo tofaut sana
sema kuna mtu hapo kasema yeye mfupi ila kuna habari nyingine sio, ukiwa mfupi kwann useme wewe mrefu na unajua fika kuwa ni mfupiBasi kwenye huu uzi wanaume wote tunarefuka
chaguo lako hilo mzee kwahiyo kiroho safi
Kuna watu (wanawake) waliolewa na wanaume warefu wenyewe wakawaona ni ma-handsome sasa bana kuanza kuwa na uhusiano wa karibu kumbe ni ukorofi na utata mtupu!
Halafu dalili huwa dhahiri tangu wakati wa urafiki na uchumba lakini mwanamke anachukulia kuwa Mwanaume atabadilika,
Weeee mmnh ukorofi kama wote unaambiwa!
Mwanaume hataki ndugu wa mke aje kwao,
Mwanaume jobless mlevi,
Wengine wanaibia wake zao hela ndani ya nyumba,
Ukorofi Kwa majirani ,
Mwisho wa siku kuachana!
Kwa hiyo tuombe Mungu atuongoze Katika kutambua wenye moyo safi na rehema na sio kuangalia kwa nje tu kwa kimo, tako, muonekano n.k.
Mpaka kijana akomae kukubali hili ni awe amepigwa matukio kadhaa, mwanzo watu wanajalia tu taswira ya nje: mali, elimu, kimo, sura, rangi, shepu, status. Utu, chemistry mtu huja kukubali baadae sana ukute ashafunga pinguMuhimu ni moyo wa mtu na wala si kimo cha mtu.
Wale wenye maneno mengi mengi, ku flirt kwa sana, wajuaji, wabishi, matusi sana, wakujimwambafai,Jamii forum ilivo kila mtu atacoment ni mrefu ngoja tuone maajabu
Siku hizi mahusiano ni kiburidisho, hayana maana wala uzito, kama hujui kuigiza bora kubaki singo