Duuh kwani urefu unaanzia ngapi?Hakuna mtu mrefu anakataliwa na mademu labda uwe mchafu yani hujipendi la sivyo jihakikishie mademu wanakupenda ukiona wanakukataa hao mademu sitaki nataka yani wanakupima tu ila uwezo wa kukukataa hawana.
Wanaume wanaokataliwa na mademu ni vijeba yani wafupi na ukiona mfupi kakubaliwa uyo labda anahela.