Kama wewe ndio DP World, kwa Kelele Hizi bado utakuwa na moyo wa kuwekeza?

Kama wewe ndio DP World, kwa Kelele Hizi bado utakuwa na moyo wa kuwekeza?

Bush Dokta

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2023
Posts
24,831
Reaction score
45,154
DP world wakiendelea na huu Mkataba na uwekezaji wake basi nitajua kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia.

Mwekezaji lazima awe na wasi wasi pale wenyeji wanapoonekana hawajafurahiswa na uwekezaji wako.

Je watapata ushirikiano?

Ningekuwa mimi ndio DP world huu mradi ningeupiga chini tu. Then nikaenda kuwekeza Msumbiji ambao hawana Mbambamba
 
Umeshasema kelele,sasa kelele zina maana gani??

Ndiyo maana unaambiwa kelele za chura hazimzuii tembo kunywa maji,

Kelele ukae zako JF na TWITTER kuandika andika utumbo ndiyo kelele??

Au kama mbowe aende zake London kwenye kile kijchumba cha kufugia nguchiro na diaspora njaa akihutubia uongo wake ndiyo useme kelele??

Mngeingia road kuandamana atleast ungekuwa na hoja,kuandamana kwenyewe hamtaki mnaogopa
 
DP world wakiendelea na huu Mkataba na uwekezaji wake basi nitajua kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia.

Mwekezaji lazima awe na wasi wasi pale wenyeji wanapoonekana hawajafurahiswa na uwekezaji wako.

Je watapata ushirikiano?

Ningekuwa mimi ndio DP world huu mradi ningeupiga chini tu. Then nikaenda kuwekeza Msumbiji ambao hawana Mbambamba
Pole zako mkuu 'Bush Doctor', naona wewe hujawahi nyemelea binti uliyedhani hakuna kingine chochote duniani kuliko wewe kumpata huyo binti.

Kwa mfano huo, inatosha kukufahamisha hali halisi ilivyo.

Hata hivyo, ninaungana nawe; kwa vyovyote vile, hata hawa wapuuzi wakilazimisha, DP World hana uhai mrefu hapa. Haya yatakuwa ni kama mapambano ya kuikomboa nchi toka utumwani.
Watajitokeza wazalendo na kuwatupilia mbali washenzi hawa.
 
Ni uhafifu wa IQ ndio utafikiri namna hiyo, ila haya Makampuni ya Kimataifa yanaangalia faida na marupurupu.

Kama Barrick Gold walipewa Mgodi wa Bulyankulu wakati wakijua fika wale "Wapiga kelele" wamezikwa kwenye mashimo pale.

Kuna taarifa zinasema maelfu waliuwawa pale.
 
😅😅wamekaza lazima waje
 
Eeh hii habari mpya hebu fafanua Imhotep
 
DP world wakiendelea na huu Mkataba na uwekezaji wake basi nitajua kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia.

Mwekezaji lazima awe na wasi wasi pale wenyeji wanapoonekana hawajafurahiswa na uwekezaji wako.

Je watapata ushirikiano?

Ningekuwa mimi ndio DP world huu mradi ningeupiga chini tu. Then nikaenda kuwekeza Msumbiji ambao hawana Mbambamba
Tatizo ni mkataba
 
Watz naona wamekataa kabisa kudanganywa
Mkuu, kuna fundisho kubwa hapa, na tushukuru kwamba hili jambo limetokea wakati huu.

Hakuna wakati wowote kwa hivi karibuni paliweza kutokea jambo lililoamsha hisia za waTanzania kama lilivyofanya tukio hili.

Ni tukio lililoonyesha ni jinsi gani waTanzania wanavyojua maswala yaliyo muhimu kwao.

Mimi nawaomba tu vyama vya upinzani, wasikose kuwaongoza hawa wananchi ili mabadiliko yafanyike nchini mwetu.

Hili ni tukio muhimu sana, kwenye wakati sahihi kabisa.
 
Nchi masikini yenye utajiri wa maneno.
Tulifundishwa nchi ina rasilimali nyingi, kisha tumebweteka. Watanzania twendeni tukapate exposure na tuzifuate fursa popote zilipo badala ya majungu, dini na ngono.
 
Eeh hii habari mpya hebu fafanua Imhotep
Wale Wazungu wa Barrick walipewa Mgodi wa Bully huku kukiwa na Maiti za waliougomea pale wakafukiwa na Mkapa.

Hawa wawekezaji wanaangalia faida zao hawaangalii kelele zako.

Kidogo hata Ustaadh Kidau auwawe kwa kutetea maiti za wapiga kelele.

Lissu pia anamjua nilikuwa nikimsikia akimuongelea Majukwaani.

Thread 'LEO ni Miaka 15 ya Dhahabu ya damu ya Bulyanhulu (7 Agosti 1996 majira ya saa 10.00' LEO ni Miaka 15 ya Dhahabu ya damu ya Bulyanhulu (7 Agosti 1996 majira ya saa 10.00
 
Mkuu, kuna fundisho kubwa hapa, na tushukuru kwamba hili jambo limetokea wakati huu.

Hakuna wakati wowote kwa hivi karibuni paliweza kutokea jambo lililoamsha hisia za waTanzania kama lilivyofanya tukio hili.

Ni tukio lililoonyesha ni jinsi gani waTanzania wanavyojua maswala yaliyo muhimu kwao.

Mimi nawaomba tu vyama vya upinzani, wasikose kuwaongoza hawa wananchi ili mabadiliko yafanyike nchini mwetu.

Hili ni tukio muhimu sana, kwenye wakati sahihi kabisa.
Mbona mnadanganyana nyie kenge?!!!! Hao kina vishivji na vilissu na malofa wachache humu ndo mnasema watanzania?!!!! Kuweni serious basi nyie mbwiga! Biashara kati ya dp world na tz itafanyika na na watz wataona matunda.........
 
Lazima tuwahujumu, pale bandarini itabidi tuhakikishe zinatokea ajali kila siku na mortuary zijae hao wanaotaka kuupora uhuru wetu Kwa mtaji wa ujomba wao...

Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa

1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)

2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?

3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?

4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!

6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?

7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Ndo lissu kakuchambulia hivyo?!!! Bure kabisa nyie (in kalonzo musicals voice)
 
Back
Top Bottom