imhotep
JF-Expert Member
- Oct 13, 2012
- 55,997
- 88,219
Katiba ni ileile CCM ile ile inaongozwa na wale wale.Mimi sina shaka yoyote moyoni mwangu sasa hivi, Tanzania haitakuwa ile ile tuliyoifahamu miaka yote.
Walazimishe, au waache, hiyo ni shauri yao, lakini wamekwishatuvusha sasa, hatupo tena kule kwa zamani.
Tujikite kwenye Katiba mpya na maridhiano.