FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Jibu hizo hojaNdo lissu kakuchambulia hivyo?!!! Bure kabisa nyie (in kalonzo musicals voice)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jibu hizo hojaNdo lissu kakuchambulia hivyo?!!! Bure kabisa nyie (in kalonzo musicals voice)
Halafu mikorosho yangu akaipulizie nani?!!! Unataka nichekwe wakati wa msimu ee?!!!Jibu hizo hoja
Mwambie afungue page zake watu wacomment...ndio utaona hizi kelele ni geresha au zina impact..Dp hamsikilizi mwananchi
Wala mwananchi hawezi kumtia hofu
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
DP world wakiendelea na huu Mkataba na uwekezaji wake basi nitajua kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia.
Mwekezaji lazima awe na wasi wasi pale wenyeji wanapoonekana hawajafurahiswa na uwekezaji wako.
Je watapata ushirikiano?
Ningekuwa mimi ndio DP world huu mradi ningeupiga chini tu. Then nikaenda kuwekeza Msumbiji ambao hawana Mbambamba
PUMBAFU! Sema viongozi wandamizi na familia zao ndio watakaoona matunda ya hao DP WorldMbona mnadanganyana nyie kenge?!!!! Hao kina vishivji na vilissu na malofa wachache humu ndo mnasema watanzania?!!!! Kuweni serious basi nyie mbwiga! Biashara kati ya dp world na tz itafanyika na na watz wataona matunda.........
Kwa mtu bwege kama wewe sina muda wa kupoteza tena.Mbona mnadanganyana nyie kenge?!!!! Hao kina vishivji na vilissu na malofa wachache humu ndo mnasema watanzania?!!!! Kuweni serious basi nyie mbwiga! Biashara kati ya dp world na tz itafanyika na na watz wataona matunda.........
Huna akili.Kelele za mbuzi hazimkoseshi simba usingizi. Mi ndio kwanza "NINGEZIDISHA KUPIGA SPANA" kuanza harakati za kuweka utawala wangu bandarini, ningefukuza wafanyakazi wote, maana najua kuuvunja mkataba hamuwezi wala kuurekebisha hamuwezi.
Kama wewe ni DP World, soma haya mabandikoDP world wakiendelea na huu Mkataba na uwekezaji wake basi nitajua kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia.
Mwekezaji lazima awe na wasi wasi pale wenyeji wanapoonekana hawajafurahiswa na uwekezaji wako.
Je watapata ushirikiano?
Ningekuwa mimi ndio DP world huu mradi ningeupiga chini tu. Then nikaenda kuwekeza Msumbiji ambao hawana Mbambamba
FUNZO?Wale Wazungu wa Barrick walipewa Mgodi wa Bully huku kukiwa na Maiti za waliougomea pale wakafukiwa na Mkapa.
Hawa wawekezaji wanaangalia faida zao hawaangalii kelele zako.
Kidogo hata Ustaadh Kidau auwawe kwa kutetea maiti za wapiga kelele.
Lissu pia anamjua nilikuwa nikimsikia akimuongelea Majukwaani.
Thread 'LEO ni Miaka 15 ya Dhahabu ya damu ya Bulyanhulu (7 Agosti 1996 majira ya saa 10.00' LEO ni Miaka 15 ya Dhahabu ya damu ya Bulyanhulu (7 Agosti 1996 majira ya saa 10.00
Inasikitisha sanaLazima tuwahujumu, pale bandarini itabidi tuhakikishe zinatokea ajali kila siku na mortuary zijae hao wanaotaka kuupora uhuru wetu Kwa mtaji wa ujomba wao...
Hoja kuu zinazohitaji majibu ni hizi hapa
1.) Tofauti ya ‘Makubaliano’ na ‘Mkataba’ ni ipi hasa kiasi mseme ule sio mkataba, kwamba ni makubaliano tu ya awali, na je Mkataba huo (makubaliano hayo) ni wa miaka mingapi? (UKOMO)
2.) Ni kwa faida ya nani kwamba DPW anapewa haki ya bandari zote za Tanganyika, kwamba hakuna mwekezaji mwingine yeyote anaweza kuja kufanya uwekezaji kwenye bandari za Tanganyika bila udalali wa DPW, je, ukiritimba huu ni kwa faida ya nani?
3.) Ni kwa faida ya nani, DPW apewe haki ya kudai kipande chochote cha ardhi yenye ukubwa wowote anaoutaka yeye ndani ya ‘Territory’ ya Tanganyika na sisi tumpe ardhi hiyo kwa kuondoa watu na miradi yote ndani ya eneo alilolitaka, na tumpatie bire kabisa kwa gharama zetu sisi, hata fidia tulipe sisi ili kuondoa watu kumpisha, huu uwendawazimu ni kwa faida ya nani?
4.) Ni kwa faida ya nani, kwamba sisi tuliowekeza matrillion ya mikopo kuendeleza bandari na tukiwa kama wamiliki wa rasimali ya bandari, tupate 0% ya faida itakayotokana na uendeshaji wa huduma za kibandari, yaani ni kana kwamba yeye kawekeza 100% na hivyo achukue 100%? Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
5.) Ni kwa faida ya nani, kwamba mkataba unahusisha bandari za Tanganyika tu na sio za Zanzibar, ilihali bandari ni suala la Muungano? Je, Zanzibar haitaki kunufaika au yenyewe haitaki matunda ya mkataba huu? Ukizingatia walioongia huu mkataba wote ni waZanzibari, kuanzia Samiah Suluhu Hassan, Makame Mbarawah, Hamza Johari na wenzao, kwamba hawataki Zanzibar yao ipate matunda mazuri ya mkataba huu?!
6.) Ni kwa faida ya nani kusema kwamba, hata DPW akavunja mkataba na kukiuka kanuni na taratibu zote zinazotambulika kimataifa, bado hatutaweza kuvunja , kuusema vibaya au kujitoa kwenye mkataba, milele! Uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
7.) Ni kwa faida ya nani kwamba pamoja na kuwa DPW watachukua 100% ya faida, bado tena faida hiyo watapewa Msamaha wa kodi kwa 100%, yaani hata hicho wanachovuna nacho hatuchukui kodi, na wakti huo huo tunakamuliwa kodi za miamala, uwendawazimu huu ni kwa faida ya nani?
Kwahiyo unafikiria Kelele hizi zitazuia chochote?Haiwezekani ikawa tofauti na wakati ule
Udini unakusumbua sana rafiki yangu,kipindi cha Magufuri tulishirikiana vema kukemea uovu,lakini sasa umebadilika sana au na wewe ni mnufaika na utumwa?Kwahiyo unafikiria Kelele hizi zitazuia chochote?
Mchungaji! Anachunga nini??FUNZO?
Haiwezekani ikawa tofauti na wakati ule?
Hivi ni vitisho kwa watu?
Ni lazima matokeo yawe hivi kila mara?
Ninapata shida kidogo kusoma haya toka kwa mchangiaji kama wewe; bado sina hakika kama huu ndio uamini wako kwenye maswala kama haya!
Udini gani wakati mimi ni Atheist siku nyingi, tafuta shutuma nyingine.Udini unakusumbua sana rafiki yangu,kipindi cha Magufuri tulishirikiana vema kukemea uovu,lakini sasa umebadilika sana au na wewe ni mnufaika na utumwa?
Mimi sina shaka yoyote moyoni mwangu sasa hivi, Tanzania haitakuwa ile ile tuliyoifahamu miaka yote.Kwahiyo unafikiria Kelele hizi zitazuia chochote?
Ndugu hili la Bandari unaona lina uhai kweli?Udini gani wakati mimi ni Atheist siku nyingi, tafuta shutuma nyingine.