Kama wewe ndio DP World, kwa Kelele Hizi bado utakuwa na moyo wa kuwekeza?

Mwarabu anaweza kuja lakini hili vuguvugu la wananchi likiendelea la kuwatukana,kuwadharau etc huko mitandaoni etc ...ufanyaji kazi wake utakuwa mgumu sana. Kama kelele hizi ndio zimesababisha kawablock watz wasikoment kwenye page yake huko mbele itakuwaje? ..na hapo bado hakafika Bongo... Sijawahi ona mwekezaji amekataliwa waziwazi kiasi hiki...tusiombee isizuke any movement au dharau mtandaoni dhidi ya waarabu kwa ujumla...mambo yatakuwa sura nyingine kabisa...
 
Kwa huku kujichechetua kwa vingozi wetu waandamizi ni kiashiria wameshajaziwa mahela ya kutosha ktk accounts zao na DP world.

KWA HUU MKATABA WADANGANYIKA TUMEUZWA
 
Mbona mnadanganyana nyie kenge?!!!! Hao kina vishivji na vilissu na malofa wachache humu ndo mnasema watanzania?!!!! Kuweni serious basi nyie mbwiga! Biashara kati ya dp world na tz itafanyika na na watz wataona matunda.........
PUMBAFU! Sema viongozi wandamizi na familia zao ndio watakaoona matunda ya hao DP World
 
Mbona mnadanganyana nyie kenge?!!!! Hao kina vishivji na vilissu na malofa wachache humu ndo mnasema watanzania?!!!! Kuweni serious basi nyie mbwiga! Biashara kati ya dp world na tz itafanyika na na watz wataona matunda.........
Kwa mtu bwege kama wewe sina muda wa kupoteza tena.
Nilishajibishana nawe huko siku chache zilizopita, na kukudharau moja kwa moja.

Huna mchango wowote tena unaoweza kuongeza thamani katika mjadala wa jambo hili.
Umebaki kubweka tu, kama kichaa!
 
Kelele za mbuzi hazimkoseshi simba usingizi. Mi ndio kwanza "NINGEZIDISHA KUPIGA SPANA" kuanza harakati za kuweka utawala wangu bandarini, ningefukuza wafanyakazi wote, maana najua kuuvunja mkataba hamuwezi wala kuurekebisha hamuwezi.
Huna akili.
 
Kama wewe ni DP World, soma haya mabandiko
 
Attachments

  • 09982A11-FB64-44FC-9D3D-A93C00634BDA.jpeg
    71.8 KB · Views: 2
  • 41B693C3-6BF8-48CE-ACF9-EB39008881CE.jpeg
    58.4 KB · Views: 2
  • 4B2B54B6-BA1B-466D-86AC-CEFAFB6F06F5.jpeg
    62 KB · Views: 1
  • 0B98C3DD-C720-4B40-AEF5-E42DF133C139.jpeg
    55.5 KB · Views: 1
  • 61477FC5-C977-459D-B110-CBDD47A2F2D8.jpeg
    58 KB · Views: 1
  • 622BE510-EB0D-4EA2-96AB-558A6443F321.jpeg
    79.5 KB · Views: 1
  • CBDC44BB-94A2-4ECB-AC38-33C16100CDBA.jpeg
    32 KB · Views: 1
  • 5E455FE2-530A-44CB-A552-2D50AD7CC0CF.jpeg
    131.1 KB · Views: 1
  • 779A09B2-6D7A-4094-8F09-E3485BE79C99.jpeg
    75.7 KB · Views: 1
  • C8C14DF5-F85F-4C30-8409-2CA9016361F4.jpeg
    150.5 KB · Views: 1
  • 82359CFF-E329-4A16-B1D0-DCFA03C6034D.jpeg
    55.1 KB · Views: 1
FUNZO?

Haiwezekani ikawa tofauti na wakati ule?

Hivi ni vitisho kwa watu?

Ni lazima matokeo yawe hivi kila mara?

Ninapata shida kidogo kusoma haya toka kwa mchangiaji kama wewe; bado sina hakika kama huu ndio uamini wako kwenye maswala kama haya!
 
Inasikitisha sana
 
Kwahiyo unafikiria Kelele hizi zitazuia chochote?
Udini unakusumbua sana rafiki yangu,kipindi cha Magufuri tulishirikiana vema kukemea uovu,lakini sasa umebadilika sana au na wewe ni mnufaika na utumwa?
 
Mchungaji! Anachunga nini??
 
Udini unakusumbua sana rafiki yangu,kipindi cha Magufuri tulishirikiana vema kukemea uovu,lakini sasa umebadilika sana au na wewe ni mnufaika na utumwa?
Udini gani wakati mimi ni Atheist siku nyingi, tafuta shutuma nyingine.
 
Kwahiyo unafikiria Kelele hizi zitazuia chochote?
Mimi sina shaka yoyote moyoni mwangu sasa hivi, Tanzania haitakuwa ile ile tuliyoifahamu miaka yote.

Walazimishe, au waache, hiyo ni shauri yao, lakini wamekwishatuvusha sasa, hatupo tena kule kwa zamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…